- Habari
Bandari kavu ya kwala kuanza kutoa huduma hivi karibuni
BANDARI Kavu ya Kwala iliyopo mkoani Pwani inatarajiwa kuanza kufanya kazi muda wowote pamoja na kutoa huduma zote za kiforodha kama zinavyotolewa katika bandari zingine. Akizungumza Meneja Miliki wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Alexander Ndibalema amesema hatua zote za ukamilishaji wa bandari hiyo zimekamilika. “Bandari Kavu ya Kwala ipo tayari kufanya kazi kwa sababu miundombinu yote ya…
Read More » - Habari
238 wanaswa maandamano Kenya
JESHI la polisi nchini Kenya linawashikilia waandamanaji 238 walioandamana jana katika mji wa Kisumu nchini Kenya wakipinga kupanda kwa gharama za maisha. Taarifa iliyotolewa leo Machi 21, 2023 na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Japhet Koome imeeleza watu wanne kati ya hao ni viongozi wa Azimio na kwamba waliachiwa jana jioni na wanatarajia kupelekwa mahakamani Alhamisi. “Tungependa kuujulisha umma…
Read More » - Biashara
Wafanyabiashara kampuni 100 China waja
WAFANYABIASHARA kutoka kampuni 100 nchini China wanatarajiwa kuja Tanzania kwa lengo la kufanya mazungumzo na kampuni zilizopo nchini. Wafanyabiashara hao wanaotarajiwa kufika nchini Septemba 20, 2023 watazungumza juu ya masuala ya uwekezaji na biashara. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki, ujumbe huo wa wafanyabiashara utakuwa nchini kwa muda wa wiki moja. “Makampuni…
Read More » - Habari
16,104 wanufaika maji safi Karabagaine
ZAIDI ya wakazi 16,104 wa vijiji vitano Kata ya Karabagaine Wilaya ya Bukoba, wameanza kunufaika na huduma ya maji safi na salama. Hatua hiyo inatokana na kukamilika awamu ya kwanza ya mradi wa maji wa Karabagaine unakotekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na usafi wa Mazingira (BUWASA) uliogharimu zaidi ya Sh Milioni 550. Taarifa iliyotolewa na Kaimu Meneja wa BUWASA,…
Read More » - Habari
‘Tukiacha woga tutazalisha wasanii wengi wazuri’
‘Tukiacha woga tutazalisha wasanii wengi wazuri’ MWIGIZAJI mkongwe wa filamu Single Mtambalike, ‘Richie’ amewaomba maprodyuza wa filamu kuacha woga wa kutowaamini waongozaji wa kazi zao. Akizungumza na HabariLEO jijini Dar es Salaam, msanii huyo amesema maprodyuza wengi wa bongo hawataki kuwaamini waongozaji wa kazi zao tatizo ndio linapoanzia hapo. “Mwongozaji ndie anajua nafasi hii inamfaa nani acheze, lakini wewe unampelekea…
Read More » - Biashara
Vijana 200 kunufaika kilimo biashara Tanga
HALMSHAURI ya Jiji la Tanga, imetenga eneo lenye ukubwa wa hekari 200, ambalo wanatarajia kuligawa kwa vijana wapatao 200, ili waweze have kujishughulisha na kilimo biashara kwa lengo la kuwasaidia kujikwamua kiuchumi. Akitoa taarifa hiyo Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Dk Sipora Liana, amesema kuwa kwa kushirikiana na shirika la Botner Foundation, wanatarajia kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa kilimo…
Read More » - Habari
‘Down Syndrome si ugonjwa wa akili’
JAMII imeaswa kutambua kuwa down syndrome si ugonjwa wa akili, bali ni viungo kutokamilika na kufanya kuonekana kama wana mtindio wa ubongo, ilhali tatizo kubwa ni ubongo na moyo kuwa na tundu. Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya Down Syndrome, Mkurugenzi wa shirika hilo,Monyi Pettit, amesema watoto hao wanakuwa na misuli isiyo na nguvu hali inayosababisha kutokuwa vizuri, hivyo ni…
Read More » - Habari
Barabara Hifadhi ya Ruaha yawaibua tena wadau
WADAU wa utalii wameendelea kuiomba serikali kuharakisha ujenzi wa barabara ya lami kuelekea hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ubovu wake kwa miaka yote umeelezwa kuwa moja ya sababu inayoikosesha hifadhi hiyo watalii na mapato ya kutosha. Pamoja na hifadhi hiyo kuwa ya pili kwa ukubwa baada ya hifadhi ya Taifa ya Nyerere ikiwa na kilometa za mraba zaidi ya…
Read More » - Habari
Adebayor astaafu soka
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Arsenal na Tottenham Hotspurs, Emmanuel Adebayor ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 39. Akiwa nchini England Adebayor alizichezea timu za Arsenal, Manchester City, Tottenham na Crystal Palace. Alifunga mabao 97 ya Premier League kwa muda wote wa Spurs, Arsenal na Man City wakati akiwa England. Fowadi huyo alikuwa na wakati mzuri katika vilabu vyake…
Read More » - Habari
Kamati hali ya hewa yakutana Arusha
TANZANIA imekuwa mwenyeji wa mkutano wa Kamati ya Kuchakata Data za Hali ya Hewa Duniani, lengo ikiwa ni kuhakikisha data za hali ya hewa zinatumika ipasavyo na taasisi za hali ya hewa katika nchi wanachama wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) na kwa manufaa ya sekta mbalimbali. Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo na Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri…
Read More »