• Habari

    Ajali yaua 20 Limpopo

    TAKRIBANI watu 20 wamefariki nchini Afrika Kusini baada ya kutokea ajali barabarani katika jimbo la kaskazini la Limpopo. Waathirika wa ajali wanaoaminika kuwa ni wachimba madini walikuwa kwenye basi ambalo lilianguka na kugongana uso kwa uso na lori. Watu hao walikuwa wakisafirishwa kwenda kwenye migodi mikubwa ya almasi inayomilikiwa na kampuni kubwa ya madini ya De Beers. Venetia, karibu na…

    Read More »
  • Habari

    Libya yatangaza hali ya dharura

    SERIKALI ya Libya imetangaza hali ya dharura ya mwaka mzima kwa lengo la kuzuia kuenea magonjwa ya kuambukiza katika maeneo yaliyokuumbwa na mafuriko ya Mashariki mwa nchi hiyo. Wiki iliyopita, kimbunga cha “Daniel” kilipiga maeneo kadhaa ya miji ya Benghazi, Al-Bayda, Marj, Susa, Shahatt na Derna. Shirika la Afya Duniani lilionya kuhusu kuenea magonjwa ya kuambukiza katika maeneo yaliyokumbwa na…

    Read More »
  • Habari

    Wananchi Mbarali kupiga kura kesho

    MBEYA,Mbarali: Wananchi wa Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya kesho wanatarajia kupiga kura kumchagua Mbunge.–Uchaguzi huo unafanyika kuziba nafasi ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Francis Mtega ambaye alifariki Julai mosi mwaka huu kwa ajali ya kugongwa na trekta dogo maarufu Power Tiller wakati akiendesha pikipiki kuelekea shambani kwake.–Agosti 5 mwaka huu, Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) ilitangaza tarehe ya…

    Read More »
  • Habari

    Takukuru kuchunguza vyama kutolipa wakulima

    MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Chrisitina Mndeme ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo kuchunguza vyama vya msingi 12 ambavyo vimeshindwa kuwalipa wakulima zaidi ya 900 kiasi cha Sh bilioni 2.5. Pia ametoa wiki moja kuhakikisha makampuni mawili ya Mkwawa na Voedsel ambayo yalifunga mkataba na wakulima kwenye ununuaji wa zao la tumbaku ambapo wamepitiliza miezi…

    Read More »
  • Habari

    Nzi wakwamisha biashara ya embe

    ZANZIBAR; WIZARA ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo imesema inaendelea na utafiti wa wadudu akiwamo nzi ambao wamekuwa wakishambulia mazao ya wakulima na kurudisha nyuma juhudi za uzalishaji wa mazao ya chakula. Hayo yamesemwa na Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Shamata Shaame Khamis wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe, Ameir Ali Ameir aliyetaka kujua juhudi…

    Read More »
  • Habari

    RC Arusha aagiza kuanza ujenzi shule wasichana

    ARUSHA; Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella ameagiza kuanza mara moja kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya masomo ya sayansi inayojengwa wilayani Longid,o baada ya kuonekana hali ya kusuasua kwa mradi huo licha ya serikali kutoa Sh bilioni 3. Pia ameagiza umeme na maji yawe yamefika haraka katika eneo hil, ili kuwezesha ujenzi huo uliopo nje…

    Read More »
  • Habari

    Wapewa mbinu waweze kukopesheka

    WAKULIMA wa mazao Mchanganyiko wilayani Momba, mkoani Songwe wametakiwa kuunda vyama vya Ushirika (AMCOS), ili waweze kukopesheka na kuwa na uhakika wa soko la mazao yao. Hayo yamesemwa na mtalaam wa uendelezaji Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB ), Marco Ndonde katika ziara ya watalaam wa Wizara ya Kilimo wakiambatana na Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe kutoa…

    Read More »
  • Habari

    Mitrovic atua Al-Hilal

    MSHAMBULIAJI Aleksandar Mitrovic amejiunga na Al-Hilal. Aleksandar Mitrović: “ Sina cha ajabu tena England nimecheza kwa miaka mingi.” “Nina furaha sana kuwasili kwenye klabu kubwa Al-Hilal ni kama Real Madrid Ulaya. ”Nina furaha hapa na nataka kushinda mataji.” aliiambia Gazzetta Dello Sport.

    Read More »
  • Biashara

    Mambo yanoga Bandari za Ziwa Tanganyika

    SHILINGI bilioni 108 zilizowekezwa na serikali katika uboreshaji wa bandari za ziwa Tanganyika, zimekuwa kichocheo kikubwa cha uchumi na biashara nchini kutumia fursa inayopatikana kwenye nchi za ukanda wa maziwa makuu. Meneja wa Bandari za Ziwa Tanganyika, Edward Mabula amesema hayo wakati wa kuhitimisha wiki ya maadhimisho ya miaka 18 tangu kuanzishwa kwa mamlaka ya usimamizi wa bandari na bandari…

    Read More »
  • Biashara

    SHIUMA yawashangaa Machinga kuchezea fursa

    MLEZI wa Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA) Salim Asas amewashangaa baadhi ya machinga wa mjini Iringa kwa namna wanavyochezea fursa iliyopo mbele yao inayolenga kuboresha mazingira yao ya biashara na kukuza mitaji yao. Ameyasema hayo wakati shughuli za biashara za machinga katika soko lao la Mlandege zikizinduliwa katika hafla iliyohusisha chakula na vinywaji kwa wafanyabiashara hao zaidi ya…

    Read More »
Back to top button