• Biashara

    Madereva wakumbushwa kufuata sheria Arusha

    WAMILIKI wa vyombo vya usafirishaji jijini Arusha, daladala na bajaji wametakiwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa na serikali katika usafirishaji abiria vinginevyo dola haitawaacha salama. Hayo yalisemwa na Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti na Usafirishaji Ardhini (LATRA) Mkoa wa Arusha, Joseph Michael katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na mamlaka hiyo kwa lengo la kutoa elimu ya kwa wamiliki wa…

    Read More »
  • Habari

    Askari Polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

    DAR ES SALAAM: Kamishna wa Polisi Utawala Menejimenti ya rasilimali watu, CP Suzan Kaganda amewataka askari Polisi wanawake kuchangamkia fursa za elimu ili kuongeza ujuzi na weledi wa utendaji kazi wa Jeshi la Polisi. Kamishna Kaganda ameyasema hayo leo Septemba 29, 2023 wakati wa kikao na askari Polisi wanawake kilichofanyika katika bwalo la maafisa wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es…

    Read More »
  • Habari

    Mabasi sasa ruksa kusafiri saa 24

    DSM; SERIKALI ya Tanzania imeruhusu mabasi ya abiria kufanya usafirishaji wa saa 24, baaada ya kujiridhisha kiusalama, mwamko wa wananchi, huduma za mawasiliano pamoja na miundombinu ya usafirishaji. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Jumanne Sagini wakati akizungumza na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na kusema kuwa wamefikia uamuzi huo baada ya serikali kuimarisha shughuli…

    Read More »
  • Habari

    Mashindano Lake Manyara yaiva

    ARUSHA;MASHINDANO ya riadha ya Lake Manyara Marathon yamepangwa kufanyika  Oktoba 29  mwaka huu, yakilenga kutangaza utalii na kuibua vipaji vya riadha nchini. Wanariadha 3000 wanatarajiwa kushiriki mbio hizo zitakazofanyika kwa mara ya kwanza katika mji wa Mto wa Mbu, Wilaya Monduli Mkoa wa Arusha. Mwanariadha wa kimataifa, Emmanuel Giniki, ameteuliwa kuwa Balozi wa mbio hizo, na ni  miongoni mwa washiriki…

    Read More »
  • Habari

    Dk Biteko ataka kasi usambazaji umeme vijijini

    KAGERA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dotto Biteko amemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa REA 3 mzunguko wa pili kuongeza kasi ya kuunganisha umeme katika vijiji vyote mkoani Kagera vilivyoko katika mkataba kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Ametoa kauli hiyo wakati akiwasha umeme katika vijiji vya Ntanga na Kaburanzwili Wilaya ya Ngara, ambapo alisema kuwa katika awamu…

    Read More »
  • Habari

    Mlipuko wauwa watu 57 Pakistan

    WATU 57 wameuawa na wengine 60 kujeruhiwa katika shambulizi la kujitoa muhanga karibia na eneo lenye misikiti miwili wakati wa muendelezo ya sherehe za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad, nchini Pakistan, qReuters wameripoti.–Imeelezwa hakuna kundi lililodai kuhusika na milipuko hiyo.–Vyombo vya habari mbalimbali duniani vinaripoti kuwa kuongezeka kwa mashambulizi ya wanamgambo kumeongeza hatari kwa vikosi vya usalama kabla ya uchaguzi mkuu…

    Read More »
  • Habari

    TPDC: Uzalishaji gesi Mnazi Bay unaendelea

    MTWARA; SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) limekanusha taarifa kuwa visima vitano vya kuzalisha gesi asilia katika Kitalu cha Mnazi Bay Mkoani Mtwara vimekauka na kuacha kuzalisha gesi. Akizungumza mara baada ya kutembelea visima hivyo, Mkurungezi Mtendaji wa Shirika hilo Mussa Makame, amesema taarifa hizo hazina ukweli wowote na kwamba visima vyote vinaendelea na uzalishaji kama kawaida. “Uzalishaji wa…

    Read More »
  • Habari

    Ummy ataja sababu kubwa ongezeko magonjwa ya moyo

    DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametaja sababu kubwa za kuongezeka kwa magonjwa ya moyo nchi huku akiwataka wananchi kuchukua hatua za haraka ili kuepuka gharama kubwa za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza. Kwa mujibu wa Waziri Ummy amesema shinikizo la juu la damu na ugonjwa wa kisukari ni chanzo kikubwa cha magonjwa ya moyo,figo na kiharusi. Ameainisha kuwa…

    Read More »
  • Habari

    TBA yajipanga kuwafikia wachimbaji wadogo geita

    GEITA:WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) wamepanga kujenga nyumba za kupangisha mjini Geita ili kusaidia watumishi wa umma na wananchi wa kawaida ikiwemo wachimbaji wadogo kupata makazi bora. Meneja wa TBA Mkoa wa Geita, Mhandisi Gladys Jefta amesema hayo mbele ya waandishi wa habari katika maonyesho ya sita ya kimataifa ya teknolojia ya madini yanayoendelea mjini Geita. Amesema huo ni utekelezaji…

    Read More »
  • Biashara

    TPA: Uwekezaji bandarini umejikita kiteknolojia

    GEITA; MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imebainisha kwamba uwekezaji unaoenda kufanyaika kwenye bandari unalenga kuboresha teknolojia na ufanisi wa upakuaji na upakiaji wa mizigo. Ofisa Utekelezaji wa TPA, Denis Mapunda amebainisha hayo kwa waandishi wa habari katika viwanja vya maonesho ya sita ya kimataifa ya teknolojia ya madini katika viwanja vya Bombambili mjini Geita. Mapunda amesema watu wanapaswa…

    Read More »
Back to top button