• Habari

    Serikali yazungumzia upatikanaji fedha za kigeni

    SERIKALI imesema pamoja na changamoto zilizojitokeza hali ya upatikanaji wa fedha za kigeni nchini imeendelea kuwa himilivu. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Septemba 8, 2023 na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba alipokuwa akibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Injinia Ezra Chiwelesa, aliyetaka kujua mpango mpango wa serikali katika kunusuru uchumi wa nchi kutokana na ukosefu wa fedha za…

    Read More »
  • Habari

    Takukuru: Mtaa kwa mtaa yawafikia maelfu

    KAMPENI  ya mtaa kwa mtaa ya uelimishaji jamii kutambua madhara ya vitendo vya rushwa imewafikia watu  12,671  mkoani Kigoma ambapo wamepatiwa elimu ya kujua madhara ya vitendo vya rushwa sambamba na wananchi hao kutoa taarifa kuhusu tuhuma za uwepo wa vitendo vya rushwa kwenye maeneo yao. Mkuu wa dawati la elimu kwa Umma Takukuru Mkoa Kigoma,  Leonida Mushema amesema hayo…

    Read More »
  • Habari

    Vifaa vya mil.16 vya kujipima ukimwi vyasambazwa

    DODOMA: WIZARA ya Afya kwa Kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI imesambaza  vifaa zaidi ya milioni 1.6  vya mtu kujipima mwenyewe maambukizi ya virusi vya ukimwi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu jijini Dodoma ambapo amesema  Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI itaendelea kuongeza nguvu za kusambaza vifaa hivyo vya watu kujipima wenyewe virusi…

    Read More »
  • Habari

    Ummy: Tumieni ARV kwa usahihi

    DODOMA: WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amewataka watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi kuzingatia  matumizi sahihi na endelevu ya dawa za kufubaza Virusi vya UKIMWI (ARV) ili kuendelea kujilinda na kuwalinda wengine. Waziri Ummy ameyasema hayo katika kilele cha Mdahalo wa Kitaifa wa Baraza la Taifa la watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Tanzania (NACOPHA) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya…

    Read More »
  • Habari

    Taifa Stars yafuzu tena michuano ya AFCON 2023

    ALGERIA, Algiers: Timu ya soka ya wanaume ‘Taifa Stars’ wameibuka mashujaa wa taifa kwa kufuzu Michuano ya Mataifa Afrika kwa mara ya tatu, ‘AFCON 2023’ wakiwa ugenini dhidi ya Algeria, katika dimba la May 19, 1956 nchini Algeria. Matokeo ya 0-0 ndani ya dakika 90 yameifanya Stars kumaliza nafasi ya pili katika kundi F, kwa alama 8 nyuma ya Algeria…

    Read More »
  • Habari

    Taifa Stars yafuzu Afcon 2023

    TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ usiku huu imeandika historia nyingine huko nchini Algeria, baada ya kufuzu mashindano ya Afcon 2033, yatakayifanyika nchini Ivory Coast. ‘Stars’ imefuzu kwa kupata pointi 8 katika michezo 6 iliyocheza kundi F, lililokuwa na timu za Algeria waliomaliza na pointi 16, Uganda waliomaliaza na pointi 8 na Niger waliomaliza na pointi 2. Tanzania imefikisha…

    Read More »
  • Habari

    Bunge lapitisha Muswada Sheria ya Ununuzi wa Umma

    BUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma wa mwaka 2023. Muswada huo uliwasilishwa mapema leo asubuhi na Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, ambapo wakati akiwasilisha amesema lengo ni kuweka masharti bora ya usimamizi wa ununuzi wa umma, ugavi na uondoshaji wa mali kwa njia ya zabuni. “Kwa ujumla, sheria inayopendekezwa inakusudia kutatua changamoto zilizobainika katika utekelezaji wa…

    Read More »
  • Habari

    BMT wakabidhi bendera timu ya ngumi

    DAR ES SALAAM: Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeiaga kwa kuikabidhi bendera ya taifa timu ya ngumi za wazi ya Tanzania katika safari ya kuelekea Senegal kushiriki mashindano ya kufuzu Olimpiki 2024, huko Paris Ufaransa. Akikabidhi bendera hiyo kwa niaba ya Katibu Mtendaji Thadeus Almas, Mwanasheria wa BMT amewataka kwenda kuipigania nchi kufuzu kushiriki mashindano hayo na siyo kwenda…

    Read More »
  • Habari

    Mahakama yaamuru Bocco kulipwa Sh milioni 200

    DAR ES SALAAM: Mahakama Kuu ya Tanzania imeamuru kuwa mshambuliaji wa klabu ya soka ya Simba na Taifa Stars, John Bocco alipwe fidia ya Sh milioni 200 na kampuni ya mchezo wa kubashiri ya Princess Leisure (T) Limited, kwa kutumia picha yake kwenye tangazo lao.–Uamuzi huo umetolewa Agosti 31, 2023 na Jaji Irvin Mugeta.–Awali, Bocco aliiomba mahakama iamuru kampuni hiyo…

    Read More »
  • Habari

    Shigongo: Sheria ilinde Watanzania

    MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo amesema sheria zinazotungwa lazima ziwalinde Watanzania, vinginevyo kutakuwa na kulaumiana na kufilisika kwani wanalazimika kuingia katika ushindani ambao hawataumudu. Ametoa kauli hiyo leo Septemba 7, 2023 alipokuwa akichangia hoja kwenye Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma wa mwaka 2023, uliowasilishwa bungeni na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba. Amesema kama sheria haitalinda Watanzania, viwanda…

    Read More »
Back to top button