- Habari
Mchengerwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Busega
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa DODOMA:Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega mkoani Simiyu Veronica Sayore kuanzia Septemba 22, 2023 ili kupisha uchunguzi. Uamuzi huo wa Mchengerwa unakuja baada ya kupokea malalamiko kuhusu utendaji kazi usioridhisha, kutokuwa na ushirikiano na viongozi wenzake pamoja…
Read More » - Biashara
TRA yataka kukusanya Sh bilioni 69
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Morogoro imewekewa lengo la kukusanya Sh bilioni 69.63 kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024 na katika kipindi cha miezi mwili Julai na Agosti imefanikiwa kukusanya Sh bilioni 9.32 Kaimu Meneja wa TRA mkoa huo, Chacha Gotora alisema hayo alipomkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima kufungua kikao cha wadau wa sekta mbalimbali…
Read More » - Habari
Mpango asisitiza amani Umoja wa Mataifa
MAREKANI, New York: Tanzania imeunga mkono juhudi za kulinda amani ikitoa wito wa ushirikiano wa kimataifa katika kipindi ambacho mataifa mengi yameonyesha wasiwasi kuhusu kupotea kwa amani katika jumuiya ya kimataifa. Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amelieleza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan ambaye hakuweza kuhudhuria kikao hicho kutokana na majukumu ya kitaifa.…
Read More » - Habari
Vijiji vyote Mtwara kuwa na umeme
MTWARA; SERIKALI imesema hadi kufikia Desemba 2023 vijiji vyote 758 mkoani Mtwara vitakuwa vimepata umeme. Akizungumza mkoani Mtwara, Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema katika vijiji hivyo vingi vilikuwa havina umeme, hivyo watapeleka umeme katika maeneo hayo yote. Amesema lengo la ziara yake hiyo mkoani humo ni kujionea hali ya uzalishaji umeme, kutembelea miradi inayotekelezwa kupitia mashirika yao ikiwemo…
Read More » - Habari
Inonga anaendelea vizuri
TAARIFA iliyotolewa na AZAM TV ni kuwa beki wa Simba SC, Henock Inonga anaendelea vizuri. Inonga ameumia katika mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union baada ya kufanyiwa madhambi na Haji Ugano dakika ya 19 hali iliyopelekea kutolewa nje kwa kadi nyekundu. Baada ya kufanyiwa madhambi, Inonga aliwahishwa Hospitali ya Wilaya ya Temeke kwa matibabu. Nafasi ya Inonga ilikuchuliwa na…
Read More » - Habari
Baleke apiga tatu
MSHAMBUIAJI wa Simba SC, Jean Baleke amekuwa mchezaji wa pili Ligi Kuu, kufunga mabao matatu ‘hat-trick’ katika msimu mpya wa ligi hiyo. Baleke amefanya hivyo katika mchezo unaoendelea muda huu ambapo Simba inaongoza mabao 3-0 dhidi ya Coast Union. Mchezaji wa kwanza kufanya alikuwa Feisal Salum wa Azam FC aliyefunga mabao matatu katika mchezo dhidi ya Kitayose FC.
Read More » - Habari
Upasuaji MOI kufikia wagonjwa 42 kwa siku
DSM; TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imepokea vifaa tiba, vipandikizi na vifaa vya upasuaji vya kisasa vyenye thamani ya Sh bilioni 3 kutoka jumuiya ya Stant Roch iliyopo nchini Uingereza, ikiwa ni hatua ya ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza. Uwepo wa vifaa hivyo utaongeza kiwango cha upasuaji kutoka wagonjwa 26 kwa siku kwenda wagonjwa 42…
Read More » - Biashara
TTC wawazia makubwa Mkongo wa Taifa
DAR ES SALAAM; Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limejipanga kufanya upanuzi wa mkongo wa Taifa ili kuongeza mawasilino hadi upande wa magharibi wa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Peter Ulanga amesema hayo leo Dar es Salaam katika ziara iliyofanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohamed Khamis Abdullah…
Read More » - Habari
Wakenya mbaroni wizi kwenye magari
TANGA; Jeshi la polisi mkoani Tanga limekamata raia wawili kutoka nchini jirani ya Kenya wakituhumiwa kufanya matukio ya wizi kwenye magari. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa Tanga, Almachius Mchunguzi amewataja watuhumiwa kuwa ni Idrisa Kassim (24) na Samweli Mwenda, ambao walikamatwa Septemba 12 mwaka huu, Barabara ya 13 jijini Tanga. Amesema watuhumiwa hao walikamatwa vitu mbalimbali…
Read More » - Habari
‘Uvuvi haramu una athari kwa walaji samaki’
DAR ES SALAAM; WAVUVI nchini wametakiwa kufuata kanuni za uvuvi na kuachana na uvuvi haramu kwani una athari kubwa kwa walaji wa samaki. Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Wanamaji Tanzania, Moshi Sokoro, akizungumza na HabariLEO na kuongeza kuwa uvuvi haramu wa kutumia nyavu ndogo ‘kokoro’ ndiyo unaongoza katika matukio ya uhalifu wa uvuvi haramu. Amesema licha…
Read More »