• Habari

  Huduma za usuluhishi zitiliwe mkazo kortini

  FEBRUARI 2 ya kila mwaka Mahakama ya Tanzania huadhimisha Siku ya Sheria, ikiwa na lengo lakuashiria mwaka mpya wa mahakama. Katika siku hiyo, mahakama hutathmini mafanikio na changamoto kwa mwaka uliopita na kupanga mikakati ya kuboresha utendaji wa mahakama kwa mwaka huu. Mwaka huu wiki ya sheria imekuwa ikielimisha wananchi kuhusu usuluhishi wa mashauri mbalimbalinje ya mfumo rasmi wa mahakama.…

  Read More »
 • Habari

  Dk Mwinyi asifu matunda, mbogamboga kukuza uchumi

  RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema kilimo cha matunda, mbogamboga na viungo kina mchango mkubwa kwenye maendeleo ya uchumi Zanzibar kwa kuwa ni chanzo cha ajira na kipato kwa Wazanzi bari wengi. Dk Mwinyi alisema kilimo cha mazao ya bustani Zanzibar kimekuwa kikikua katika kipindi cha muongo uliopita baada ya ujio wa taasisi ya Chama cha Waku lima wa…

  Read More »
 • Habari

  Rais Samia asaini miswada mitatu

  SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amelieleza Bunge kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amesaini miswada mitatu iliyopitishwa katika Bunge la tisa iwe sheria. Dk Ackson alisema bungeni Dodoma jana kuwa, miswada iliyopitishwa na bunge hilo ni pamoja na Muswada wa Sheria ya Uwekezaji Tanzania wa mwaka 2022. Mwingine ni Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 na Muswada…

  Read More »
 • Biashara

  BoT yataja sababu uchumi kukua 2023

  BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imesema katika kipindi cha mwaka huu uchumi unatarajiwa kuimarika zaidi ikilinganishwa na mwaka uliopita. Hayo yamebainishwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba, katika taarifa yake iliyowekwa kwenye tovuti ya BoT jana. Tutuba alisema Kamati ya Sera ya Fedha ilikutana juzi kwa lengo la kutathmini utekelezaji…

  Read More »
 • Habari

  Gomez, Pluijm wang’ara Januari

  BRUNO Gomez wa timu ya soka ya Singida Big Star,  amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa mwaka 2022/23, huku Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hans Pluijm akichomoza Kocha Bora wa mwezi huo. Taarifa ya Bodi ya Ligi (TPLB), imesema Kikao cha Kamati ya Tuzo kilichokutana wiki hii kilimteua Gomez, baada ya kuonesha…

  Read More »
 • Biashara

  Dk Bashiru: Njaa inatweza utu

  MBUNGE wa kuteuliwa Balozi Dk  Bashiru Ally Kakurwa amesema mfumuko wa bei ya vyakula unasababisha wananchi kupiga pasi ndefu na kwamba njaa inatweza utu wa mtu Dk Bashiru ameyasema hayo  akichangia katika Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo mifugo na maji, bungeni mjini Dodoma leo  Januari 31,2023 Amesema  njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, njaa inatweza utu wa…

  Read More »
 • Teknolojia

  Tanzania yaipa 5 Finland miradi ya elimu

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameishukuru Serikali ya Finland kwa namna ambavyo imekuwa ikishirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuendeleza sekta ya elimu, Sayansi na Teknolojia hususan ushirikiano kati ya Vyuo Vikuu vikuu na ufadhili wa miradi kupitia Taasisi. Mkenda, ameeleza hayo jijini Dodoma alipokutana na Waziri wa Finland anaeshughulikia masuala ya Uchumi Mika Lintila na…

  Read More »
 • Habari

  Atabiri mtikisiko baraza la mawaziri

  NABII Philbert Paschal ametoa unabii na kusema kuwa muda wowote kuanzia sasa kutatokea mtikisiko kwenye mabadiliko yanayokuja ya Baraza la Mawaziri. Pia, amewasihi wale watakaoondolewa kwenye nafasi za uongozi kumshukuru Mungu kwa kipindi walichoongoza na kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili nchi iendelee mbele. Nabii Philbert wa Kanisa la Bwana Yesu kwa Mataifa Yote lililopo Tabata Kinyerezi ametoa unabii katika…

  Read More »
 • Habari

  ‘Kuna manung’uniko mengi mifumo ya haki jinai’

  MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango, amesema wananchi wa Tanzania  wana manung’uniko mengi ambayo yanaonesha mifumo ya haki jinai ina changamoto kubwa. Dk Mpango ameyasema hayo leo Januari 31, 2023 mjini Dodoma wakati wa uzinduzi wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za haki jinai. Amesema:“Katika taifa letu yapo manung’uniko mengi ya wananchi ambayo yanaonesha mfumo wetu wa haki…

  Read More »
 • Habari

  Chongolo ashauri wananchi kufunga mita za maji

  WANANCHI wa Kijiji cha Msolwa B wilayani Kilombero, wameshauriwa kufunga mita za maji katika nyumba zao, ili kulipa maji kadri wanavyotumia na kuepusha malalamiko yao ya kutozwa bei moja hata kama hawakutumia huduma hiyo. Ushauri huo umetolewa leo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Daniel Chongolo aliposimama na kusikiliza kero za wananchi hao,akiwa katika ziara yake ya kukagua Ilani…

  Read More »
Back to top button