Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Mkenda afanya mazungumzo na benki ya dunia
11 hours ago
Mkenda afanya mazungumzo na benki ya dunia
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa, Adolf Mkenda leo Machi 23, 2023 amekutana na Mkurugenzi wa Mkazi wa Benki ya Dunia Nathan Belete Jijini Dodoma na kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu sekta ya elimu. Waziri wa Elimu ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuendelea kusaidia sekta ya elimu ambapo amesema kwa sasa wizara ipo katika kufanya mageuzi makubwa ya kielimu kwa…
Serikali yanunua ng’ombe dume 366
2 days ago
Serikali yanunua ng’ombe dume 366
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi David Silinde amesema katika kipindi cha miaka miwili tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, serikali imenunua madume ya ng’ombe ya kisasa 366 yenye thamani ya Silingi Milioni 878.4 ili kuboresha mifugo nchini. Silinde ameyasema leo katika Kata ya Dakawa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wakati wa hafla fupi ya kugawa madume…
Wafanyabiashara kampuni 100 China waja
2 days ago
Wafanyabiashara kampuni 100 China waja
WAFANYABIASHARA kutoka kampuni 100 nchini China wanatarajiwa kuja Tanzania kwa lengo la kufanya mazungumzo na kampuni zilizopo nchini. Wafanyabiashara hao wanaotarajiwa kufika nchini Septemba 20, 2023 watazungumza juu ya masuala ya uwekezaji na biashara. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki, ujumbe huo wa wafanyabiashara utakuwa nchini kwa muda wa wiki moja. “Makampuni…
Vijana 200 kunufaika kilimo biashara Tanga
3 days ago
Vijana 200 kunufaika kilimo biashara Tanga
HALMSHAURI ya Jiji la Tanga, imetenga eneo lenye ukubwa wa hekari 200, ambalo wanatarajia kuligawa kwa vijana wapatao 200, ili waweze have kujishughulisha na kilimo biashara kwa lengo la kuwasaidia kujikwamua kiuchumi. Akitoa taarifa hiyo Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Dk Sipora Liana, amesema kuwa kwa kushirikiana na shirika la Botner Foundation, wanatarajia kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa kilimo…
Upanuzi Uwanja Ndege Mpanda waanza
4 days ago
Upanuzi Uwanja Ndege Mpanda waanza
MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), imeanza uboreshaji na upanuzi wa jengo la abiria katika Uwanja wa Ndege Mpanda, uliopo mkoani Katavi, ambao awali kulikuwa na changamoto ya ufinyu wa jengo hilo. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC),imetembelea uwanja huo ili kujionea utendaji wake na baada ya hapo Mwenyekiti wa Kamati hiyo Jerry Silaa,…
‘Tuboreshe miundombinu tuipaishe Bandari ya Karema’
4 days ago
‘Tuboreshe miundombinu tuipaishe Bandari ya Karema’
CHANGAMOTO ya miundombinu hususani ya barabara na reli kutoka Mpanda kwenda eneo la Bandari ya Karema, iliyopo Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi imesababisha meli za mizigo kutotia nanga katika bandari hiyo. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Jerry Silaa, walipotembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa Ujenzi…
Wabunge waagiza TSN, TBC walipwe madeni
4 days ago
Wabunge waagiza TSN, TBC walipwe madeni
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza serikali ihakikishe taasisi zilizo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari zinalipwa madeni ya muda mrefu zijiendeshe kibiashara. Baadhi ya taasisi zilizotajwa kuwa na madeni ya muda mrefu na kushindwa kukopesheka ni Shirika la Posta, Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) na Shirika la…
Samia apongezwa kasi ukuaji uchumi
4 days ago
Samia apongezwa kasi ukuaji uchumi
WACHAMBUZI wa masuala ya uchumi wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuiongoza vizuri nchi kukiwa na changamoto likiwamo janga la Covid-19 na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi. Hivi karibuni, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba aliwaeleza wabunge kuwa kati Januari hadi Septemba 2022, uchumi ulikua kwa wastani wa asilimia 5.2 ikilinganishwa na asilimia 4.8 katika kipindi kama…
Samia aita wawekezaji Afrika Kusini
7 days ago
Samia aita wawekezaji Afrika Kusini
RAIS Samia Suluhu Hassan na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini wamekubaliana Tanzania na Afrika Kusini zikuze ushirikiano kwenye masuala mbalimbali ikiwamo biashara na uwekezaji. Viongozi hao jijini Pretoria jana walishuhudia kusainiwa kwa mikataba miwili ya makubaliano ya awali. Rais Samia alikwenda Afrika Kusini kwa ziara rasmi ya kiserikali. Rais Samia alisema yeye na mwenyeji wake wamekubaliana mambo mawili ambayo…
Msusi ashinda zawadi ya gari
1 week ago
Msusi ashinda zawadi ya gari
MAMA wa watoto watatu Easther Norbert anayejishughulisha na kazi ya ususi ameibuka mshindi wa shindano liitwalo Bob Kubwa. Akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, Ester Norbert, baada ya kutangazwa mshindi, ameshukuru kushinda zawadi hiyo ya gari aina ya Toyota IST katika shindano hilo lililoandaliwa maalum kwa wadau wa masuala ya ususi Tanzania. Mshindi huyo aliyedai ametelekezwa na…