Swahili News

Habari na Matukio Kutokea Tanzania na Duniani kiujumla unazipata hapa zikiwa zimehaririwa kwa kiwango cha hali ya juu na kwa lugha nzuri ya kiswahili

Canada kuwawekea vikwazo raia wa Iran

Akihutubia “wanawake wanaoandamana nchini Iran na wale wanaowaunga mkono,” Trudeau alisema: “Tuko pamoja nanyi.” Trudeau alisema Wakanada, pamoja na mamilioni…

Read More »

Putin anatuma wanajeshi 300,000 Ukraine, Ulaya umesema vita vimefikia kiwango cha hatari kubwa

Upigaji kura huo umetajwa kuwa uchaguzi wa ‘kihuni’ ambao matokeo yake ni lazima yaonyeshe kwamba wakaazi wa sehemu hizo wanataka…

Read More »

Mtaala mpya wa elimu ya Kenya kuboreshwa, sio kufutiliwa mbali

Naibu rais wa Kenya amesema kuwa jopo kazi hilo litakaloundwa litaangazia maeneo yanayotia wasiwasi katika mtaala huo kwa kushauriana na…

Read More »

Maambukizi ya Ukimwi yapungua Lindi

By Mwanja Ibadi Lindi. Mambukizi mapya ya ugonjwa wa Ukimwi katika Mkoa wa Lindi yamepungua kutoka asilimia 3.9 mwaka 2008 hadi asilimia 0.3 mwaka…

Read More »

Mgogoro NCCR-Mageuzi: Selasini aikingia kifua Mahakama

By Sharon Sauwa Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi-Bara, Joseph Selasini amewataka viongozi wa vyama vya siasa kuanza kuheshimu katiba na…

Read More »

Meloni atarajiwa kuwa kiongozi wa kwanza Italia wa mrengo mkali wa kulia

Ameahidi kuwa kiongozi wa watu wote. Chama chake chenye siasa kali za mrengo wa kulia ‘Brothers of Italy’ na washirika…

Read More »

Wadau wajifungia siku 3 kujadili gharama za mageuzi ya sera na mitaala

By Sharon Sauwa Dodoma. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda amesema pamoja na mambo mengine,…

Read More »

Ulimwengu wa Kiislam wampoteza mwanazuoni

By Mariam Mbwana Dar es Salaam. Ulimwengi wa Kiislam, umempoteza mmoja wa wasomi aliyekuwa na ushawishi mkubwa katika dini ya…

Read More »

Ziara ya Rais Samia yatajwa kuchochea ufundishaji Kiswahili Msumbiji

By Mariam Mbwana Dar es Salaam. Ziara aliyoifanya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan nchini Msumbiji, imetajwa kuwa moja ya…

Read More »

Waziri Ummy: Saratani imeua watu 25,000 mwaka 2020

By Baraka Loshilaa Dar es Salaam. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema, ugonjwa wa saratani umeua watu 25,000 mwaka 2020 na…

Read More »
Back to top button

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker