Habari

  • Mamba aua mwanafunzi akivua samaki

    MWANAFUNZI wa darasa la sita, Shule ya Msingi Ugala iliyopo Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi, Msopola Issa (14) amefariki baada ya kushambuliwa na mamba wakati akivua samaki kwa kutumia ndoano Mto Ugala. Akithibitisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame alisema mkasa huo ulitokea Machi 19, 2023 majira ya saa nane mchana wakati mtoto huyo akivua samaki katika mto…

    Read More »
  • Mama Janeth Magufuli atunukiwa tuzo

    MJANE wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, hayati Dk John Magufuli, Mama Janeth Magufuli, ametunukiwa tuzo ya heshima ya kimataifa toleo la tatu, inayotolewa na taasisi ya Martha Tshisekedi Kasalu maarufu M. T. Kasalu, kutambua mchango wake kwa taifa la Tanzania na kwa hayati Magufuli akiwa Rais. Tuzo hiyo hutolewa kwa wenza wa viongozi wakuu wa nchi na watu…

    Read More »
  • Ummy awasili Kagera kufuatilia ugonjwa wa marburg

    Ummy awasili Kagera kufuatilia ugonjwa wa marburg WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu leo amewasili Mkoani Kagera kwa lengo la kujua hali inavyoendelea juu ya ugonjwa wa Marburg ulioibuka hivi karibuni mkoani humo. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afyam, imeeleza kuwa pia Waziri Ummy amepokea taarifa kwa timu inayoongozwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu, aliyoiagiza kuendelea kufuatilia ugonjwa…

    Read More »
  • Serikali yaahidi kuajiri walimu zaidi kukabili upungufu

    SERIKALI imekusudia kuajiri walimu zaidi katika mwaka ujao wa fedha ili kuendana na changamoto iliyojitokeza baada ya serikali kujenga madarasa zaidi na ongezeko la wanafunzi shuleni, vyuo vya kati na vikuu. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Margaret Musai wakati watafiti wakiwasilisha matokeo ya ‘Utafiti Elimu Tanzania’ yaliyowasilishwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam…

    Read More »
  • Samia amteua Wassira Mwenyekiti wa Bodi MNMA

    Rais Samia Suluhu Hassan RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hasaan amemteua Stephen Wassira kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), kwa kipindi cha pili cha miaka minne baada ya kipindi cha kwanza kumalizika. Taarifa iliyotolewa leo Machi 25, 2023 na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Zuhura Yunus, imeeleza kuwa Rais Samia pia amemteua Dk Fedelice Mbaruku…

    Read More »
  • OUT wajipanga kukabili unyanyasaji kijinsia

    MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT), Profesa Elifas Bisanda amewataka wanafunzi kutoa taarifa zote zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia katika vituo walivyopo, ili zishughulikiwe kwa mujibu wa sheria Profesa Bisanda ametoa wito huo wakati wa kikao cha 42 cha Bunge la Wanafunzi kilichofanyika katika Kituo cha OUT kilichopo mkoani Manyara. Amesema kwa kutambua umuhimu wa masuala ya kijinsia, OUT…

    Read More »
  • Waziri Mkuu akagua miradi Itilima

    Waziri Mkuu akagua miradi Itilima WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa shule ya sekondari ya Njalu katika Kijiji cha Kimali, Kata ya Nyamalapa, wilayani Itilima, mkoani Simiyu na kuagiza shule hiyo iwe ya mfano. Pia Waziri Mkuu alizindua mradi wa ghala la kuhifadhi mazao ya chakula katika Kijiji cha Ikindilo, wilayani Itilima ambao uliogharimu Sh milioni 990, ujenzi wa…

    Read More »
  • ‘Ruksa kumrekodi trafiki anayechukua rushwa’

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa ruksa kwa abiria kuwarekodi kwa simu askari wa usalama barabarani wanaochukua rushwa kwa madereva na kisha kumtumia ili awashughulikie. Kamanda Jongo amesema hayo leo wakati akizungumuza na madereva, abiria na  mawakala wa vyombo vya usafiri kituo kikuu cha mabasi Geita katika uzinduzi wa wiki ya usalama barabarani. Amesema imekuwa ni mazoea…

    Read More »
  • Mgombea ujumbe NEC arudisha fomu Arusha

    MFANYABIASHARA Maarufu Jijini Arusha, Richard Poul maarufu Marcas amajitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi Moja ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) Mkoa wa Arusha akisema kuwa lengo lake ni kuwaunganisha wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa kitu kimoja. Marca alisema na kuwataka wajumbe wa uchaguzi kuangalia sifa za mgombea na kuacha mara moja kuchagua mgombea kwa rushwa kwani rushwa…

    Read More »
  • Mkurugenzi Iringa akingiwa kifua

    MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Stephen Mhapa amemkingia kifua mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Bashir Muhoja anayelalamikiwa kutokuwa na mahusiano mazuri ya kiutendaji na baadhi ya madiwani na Chama cha Mapinduzi (CCM), wilaya ya Iringa. Hatua hiyo imekuja miezi miwili baada ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Iringa kutangaza kutokuwa na imani naye katika kikao chake kilichofanyika Januari…

    Read More »
Back to top button