Teknolojia

Jinsi ya Kuzuia SMS za Promosheni Kwenye Simu Yako

Siku hizi kuna makampuni mengie sana yanafanya promosheni kupitia kutuma meseji kwa watumiaji wa simu mbalimbali, kuna wakati meseji hizi zinakuwa kero sana kwa sababu ya kupokea meseji nyingi kwa siku na mbaya zaidi hakuna njia yoyote ya kuweza kujitoa kwenye huduma hizi.

Kupitia maujanja siku ya leo nitakuonyesha njia bora ya kuzuia meseji hizi zisiweze kuingia kwenye simu yako na kukusumbua mara kwa mara.

Kumbuka njia hii ni bora sana na inaweza kusaidia hata kuzuia meseji zile za ile pesa tuma kwenye namba hii, pamoja na meseji kutoka kwa mtu yoyote. Basi bila kuendelea kukuchosha na maneno mengi hebu twende tukajifunze njia hii.

Mpaka hapo natumaini umeweza kuzuia meseji za promosheni zinazo tumwa kwenye simu yako, unaweza kupata apps zilizotajwa kwenye video hapo juu kwa kudownload kupitia hapo chini.

Download App Hapa

Kwa maujanja zaidi hakikisha unaendelea kutembelea tovuti ya muhabarishaji Swahili kila siku, pia kwaajii ya kujifunza zaidi unaweza . Kama unataka kujifunza maujanja zaidi unaweza kusoma hapa kujua njia ya kudukua

Said Abdullah

^ SENIOR C E O & PUBLISHER ^ Software engineering ^ Fan of programming ^ Technology Enthusiast.. ^ System developed|C,C++&java 👇Get more news and updates

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button