Habari

Meridianbet yaja kivingine kwa wanamichezo

KAMPUNI ya Meridianbet inayojishughulisha na michezo ya kubashiri imetengaza ofa kubwa kwa wateja wake.

Ofisa Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet, Matina Nkurlu amesemakila siku zinakuwa ni maalum kwa ajili ya kunufaisha wateja wao.

“Nia ni kukunufaisha wewe mteja, kwetu sisi ushindi wako ni furaha, basi ni hivi anza na mtaji mdogo kabisa, ambao haijawahi kutokea, lakini kwa sababu umeichagua Meridianbet inawezekana.

“Kwa Sh 5,000 tu unaweza kushinda bonasi ya Sh 3,000,000 kutoka nyumba ya Odds kubwa na kasino ya mtandaoni yenye sloti rahisi kushinda kama Aviator, poker na Roulette.

“Jisajili, weka pesa katika akaunti yako na cheza moja ya sloti bomba kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, uwe mmoja ya washindi wa mgao wa bonasi wa Sh 3,000,000 kwaajili ya kucheza michezo mbalimbali katika tovuti yetu.

“Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe,” amesema Matina na kuongeza kuwa”

“Watakaohitaji watajisajili kwenye APP au tovuti ya www.meridianbet.co.tz  na mwisho ni Machi 31, 2023.”

Alizitaja zawadi za bonasi ya fedha zitakazotolewa kuwa ni nafasi ya kwanza Sh 1,000,000, nafasi ya pili Sh 500,000, nafasi ya tatu Sh 300,000 na nafasi ya nne Sh 200,000, huku nafasi ya tano hadi ya 24 bonasi itakuwa Sh 50,000.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button