Habari

Meridianbet yawatangazia raha wateja wake

KASINO ya mtandaoni ya Meridianbet imesema imekuwa ikiwajali wateja wake kwa namna mbalimbali na hivyo kuwaboreshea huduma kila wakati.

Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet,  Matina Nkurlu, amewaambia waandishi wa habari kuwa kutokana na hali hiyo wameanzisha promosheni baab kubwa ambayo ni Sloti bomba ya Aviator.

“Sloti hii inatoa hela kuanzia Sh 200 unaweza kuizalisha na kuwa mamilioni ya hela kupitia mizunguko 500 ya bure inayotolewa kila siku baada ya kucheza mchezo wa Aviator, hivyo na wewe unaweza kuwa mmoja kati ya wanufaika wa promosheni hii.

“Wakati kila siku washindi wa Aviator wakipatikana wewe pia unaweza kuwa sehemu ya washindi wetu wanaovuna mamilioni kila siku kwa kurusha ndege ya Aviator kutoka Meridianbet na kua bingwa usie sahaulika, Jisajili sasa kugusa link hii https://meridianbet.co.tz/en/betting , Au kama tayari wewe ni mteja wetu usiwaze ingia sasa kwenye kurasa zetu za kasino na uchague Aviator.

“Chagua Aviator kwa kuanzia leo mpaka Machi 22, mvua 20 za bure sawa na beti 500 kila siku zitakushukia. Wahi na Ushinde Sasa!  https://app.mrdn.co/aviator.

“Ikiwa hauna bando, usiwaze kuhusu kukwama bashiri zako, weka jamvi lako Meridianbet kwa USSD kwa kupiga *149*10#,” amesema Matina.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button