Simulizi

SIMULIZI | CHUMVINI SEHEMU YA – 11 MWISHO

Ilipoishia….

Akiwa amefika Sebuleni,alipeleka macho kwenyeTv japo video iliokuwa ikiendelea ilikuwa haitoi sauti.Lakini alielewa kwa uchache ilikuwa ni video ya ngono,na aliokuwa akiitazama Alikuwa Monica japo kwa wakati huo hakuwepo Sebuleni.

Kwakuwa haikuwa mara yake ya kwanza kuingia kwenye nyumba hiyo,hivyo alikuwa akijua chumba cha Monica kilipo,alipiga hatua chache hadi kukifikia.Alivyogonga nacho kilikuwa wazi.

Taratibu aliingia ndani,

Alivyofanikiwa kuingia,alitazama mbele yake,hakuamini kwa Alichokiona.

Endelea nayo…

Alimuona mama Yake mzazi akiwa analia kwa uchungu.Kumbe mpango aliokuwa akiufanya jirani kwa Joseph ulikuwa ni kumdhihirishia mama Yake Joseph kwa kile alichomwambia.Yakuwa hata Yeye binafsi Joseph ashindwi kumfanyia kama anavyowafanyia wengine.Nyumba yake aliigeuza Gest na kulala na kila Mwanamke.

Mama Joseph alilia sana.Na alipewa taarifa na Jirani yake na kukata ticket ya Dharula ya kikazi.Na alikuwa na Siku kadhaa alikuwa hapo sema aliishi kwa kujificha ili ahakikishe alichokuwa akiambiwa na Jirani yake.

Ujio wa Madam Rose na Isabela wote aliwashuhudia wakiingia ndani ya Nyumba yake.Sio siri aliumia sana aliumia moyo wake ulikuwa na maumivu makali Sana.Mama yake Joseph alisimama huku akitumia ukanga wake kufuta machozi yake akajisogeza hadi sebuleni.Huku akitoa kilio kisichokuwa na sauti.

Joseph alimfuata kwa nyuma naye akilia kilio hicho hicho.

Waliketi sebuleni.Kwa muda kisha Jirani ndipo alipojitokeza huku akiwa amevaa kiheshima.Alimuomba sana Mama Joseph awe mvumilivu kwa kila hatua aliokuwa akipiga.

Lakini kupitia jambo hilo.

Mama Joseph alifunguka mazito.

Huku kila ambapo alipokuwa akizungumza machozi yalikuwa yakizidi kumtoka.

“Baba yako nilikuwa nampenda sana.Ila kwa bahati mbaya alikuwa kama wewe,kila mwanamke alikuwa anataka kuwa naye,na mwisho wa siku aliuwawa kwenye fumanizi.Mtoto wangu Joseph nilikupa jina la baba Yako sikujua kuwa hata tabia utachukua ya kwake,nilikupa jina la mume wangu kama kumuenzi.Kwani wakati unazaliwa ndipo nilipopata taarifa ameuwawa kwenye fumanizi kwa kukakwata kwata vipande.Tulimzika akiwa hana viungo vyote mwilini mwake.Mtoto wangu umeingiwa na pepo gani hilo.”

Mama Joseph alimfanya hata Jirani na Joseph wazidi kulia,
Bila kuzungumza chochote,Mama Joseph alisimama zake na kuamka.Kisha akaelekea anapoishia huku Jirani na Joseph wakimfuata kwa nyuma huku wote wakiwa na majonzi.

Mama Joseph alivyofanikiwa kuingia ndani huku muda huo Madam Rose na Isabela wakina hawana taarifa.

Mama Joseph aliekea hadi kwenye chumba cha Joseph kisha taratibu akafungua mlango,Joseph alikimbia kumzuia asifanye hivyo lakini alikuwa ameshachelewa.

Mlango ulifunguliwa na kwa alichokiona mbele yake Mama Joseph alishindwa kujizuia alidondoka chini na kujipiga kama mzigo.Papo hapo alipoteza maisha.!

Joseph alimuwahi huku akipiga kelele,alitazama mbele yake,na kuona Madam Rose na Isabela walikuwa wakisagana kwa kunyonyana sehemu zao za siri kwa zamu huku wakiingiziana vidole kwa zamu.

Ila sauti ya mshtuko iliotoka kwa Joseph huku akiwaita kwa hasira iliwafanya washtuke na kuwatizama,walimuona mmama wa makamo akiwa upande wa chini,kwa alivyokuwa akifanana na Joseph walijua tu itakuwa mama yake.Kwa akili ya haraka walijua wameleta msala Madam Rose aliondoka zake.Na usiku huo huo alifanya mpango wa Safari ili asubuhi na mapema apotelee kusipojulikana.

Isabela alilia sana huku muda huo akiwa amejisitiri.Na waliungana na Joseph kumlilia mama yake aamke.Jirani hakuwa na nguvu tena na kujikuta anakaa chini huku akiendelea kuilaumu nafsi yake kwa kuhisi ni chanzo.

Joseph alifanya mpango wa usafiri na mama yake kuwaishwa hospitalini.Ila baada ya yote jibu lilikuwa moja mama yake ameshafariki.

Baada ya siku moja.1

Taratibu za mazishi ziliendelea huku Joseph akibaki hana mama wala baba,hata shule aliacha kutokana na msongo wa mawazo juu ya mama kwani alikuwa akimpenda zaidi ya chochote.

Isabela hakuacha kumuunga mkono naye aliacha shule na kuamua kuwa mke wa Joseph.

Mwisho!!!

Said Abdullah

^ SENIOR C E O & PUBLISHER ^ Software engineering ^ Fan of programming ^ Technology Enthusiast.. ^ System developed|C,C++&java 👇Get more news and updates

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button