Simulizi

SIMULIZI |NILIPOFUNGWA KWENYE GEREZA LA WANAWAKE KIMAKOSA SEHEMU YA – 06 HADI 10

“ninyi kwanini bado mpo humu bafuni mna shughuli gani wakati wenzenu wapo nje wameshatoka kuoga, afande huyo Rukia aliingia na kunikuta mimi na wanawake hao wanne kwa pamoja tukiwa tumetulia tuli tunatazamana, akiwa na bunduki mkononi

“tulikuwa tuna….” Anitha aliongea akitetemeka
“tulikuwa tunaa…!” Queen nae alikosa jibu,

“kiufupi hatukusikia kama wenzetu wameshatoka, nilijibu nikiwa nimeshageukia ukutani nikijua ni askari mwingine lakini nilipomwona kuwa ni Rukia sikuwa na wasiwasi sana hayo ingawa sikugeuka ili tu kuwazuga Anitha na wenzake wanne, afande Rukia akanitazama kwa sekunde kadhaa

“wewe ndo unajifanya jeuri siyo?” aliniuliza
“hapana afande nimesema tu!”
“nyie wengine tokeni nibaki na huyu tu nimfundishe adabu!” afande Rukia aliongea

“asante afande!” Aisha alijibu akitoka na wenzake huku akijifuta futa, Queen na Anitha wakinitazama tu, wakitamani kuja kunisaidia lakini hawakuwa na namna ikabidi wote watoke na kuniacha mimi na afande huyo wawili tu nami nikageuka kumtazama dudu langu lililokuwa limelowana likining’inia kiunoni katikati ya mapaja yangu likiwa limelegea baada ya kazi nzito kati yangu na akina dada wale wanne kwa pamoja

“ulinidanganyaje Paul?”
“kukudanganya kivipi afande?”
“ulisema hakuna anayejua kama wewe ni mwanaume je vipi hawa wanawake niliokukuta nao tena wanne unataka kunidanganyaje tena!” afande Rukia aliniuliza huku akinitazama nikashusha pumzi ndefu

“wamejua leo kama mimi ni mwanaume humu humu bafuni!”
“ndo unavyonidanganya ukidhani mimi ni mtoto mdogo siyo!?” afande Rukia aliniuliza huku akiufunga mlango taratibu ambao ulikuwa mbovu akiurudishia tu

“kwanini nikudanganye ndomana wakaning’ang’ania!”
“ukashindwa kuwakatalia?”

“kama ningewakatalia wangesema siri yangu ingekuwa balaa!”
“wangeisema kwangu wasingepata chochote sasa wewe ukaogopa nini kwani mimi sijui?”

“vipi kama wasingesema kwako na wakasema kwa afande Jane au askari yeyote yule huoni kama ningekuwa matatani mimi?”
“ila umeniudhi Paul nawezaje kushea penzi na wafungwa hawa askari kama mimi kwanini sijapenda hata kidogo tena siyo mmoja kweli inaingia akilini?”

“samahani lakini sikuwa na namna zaidi ya kilichotokea!”

“tokaaa Paul sitaki nikuone mbele yangu naona unazidi tu kunitia hasira!”
“samahani!” nilimjibu na kuvaa nguo zangu nikatoka taratibu huku akiwa ananisindikiza nyuma nyuma na mbele tukakutana na afande Jane ambae alikuwa akiingia vyooni humo wakati mimi na afande Rukia tukiwa ndo tunatoka

“kulikoni tena!?” alituuliza
“namrudisha huyu mwanadada!”
“ndo huyuhuyu nilikuwa namtafuta kule walipo wenzake nimeshangaa simuoni nikajikuta naingiwa mashaka, alikuwa wapi mwenyewe naona mara ya pili hii nakukuta nae afande Rukia?”

“nilimleta chooni alikuwa analalamika tumbo linamuuma!” afande Rukia alimdanganya afande Jane ambae alitikisa kichwa chake tu ila akionekana kabisa kwa kumtazama usoni kuwa hajaridhishwa na maelezo hayo ya afande mwenzake, akiwa ana wasiwasi akitutazama mpaka tulipotokomoea katika upeo wa macho yake

Nilienda kujiunga na wengine huku nikiiweka weka hijabu yangu vizuri safari tukiwa tumepewa kazi tofauti tofauti na nyingi kwelikweli kuliko siku zote, wote tukiwa wafungwa (mahabusu) ambao kesi zetu bado zinaendelea mahakamani, wengine kesi zao zikifikisha mpaka miaka miwili na wengine zikifikisha mpaka mitano na wengine mwaka, miezi na baadhi wachache kesi zao zikisikilizwa na wakitolewa lakini tangu niingie gerezani au ndani ya jela hiyo ni mtu mmoja tu ndiye aliyeachiwa huru baada ya kushinda kesi yake tena akiwa ni mama mtu mzima

Kazi ziliendelea tena ngumu kweli kweli, tukiwa kila mtu kwenye majukumu yake mpaka majira ya usiku wa saa mbili ndiyo tukamaliza kila mtu kwenye eneo alilopopangiwa tena siyo kumaliza ila walituambia tuache tutaendelea siku ya kesho yake tukiwa hatujala mchana wa siku hiyo kwa sababu hakukuwa na muda wa kula mpaka utakapomaliza kazi uliyopewa na hakuna aliyemaliza na asiongezewe nyingine, ilikuwa ukimaliza tu unaongezewa nyingine

Kila mtu alikuwa hoi siku hiyo, mwingine akilalamika kifua kinamuuma, mwingine kiuno, mwingine kichwa, mwingine mgongo na mwingine mwili mzima, kila mtu akilalamika kivyake, mimi miguu ikiniuma kutokana na kusimama kutwa nzima bila kukaa popote, tangu asubuhi mpaka usiku huo wa saa mbili kutokana na kazi niliyopewa na wengine wanne maana ukikaa tu basi unaanza tena upya

Baada ya kula mlo wa pili ambao ni wa usiku baada ya ule wa kwanza wa asubuhi tukaingia kulala tuli, kwangu mimi sijawahi kutembelewa na mtu zaidi ya wakili na mwanasheria wangu anayesimamia kesi yangu maana hakuna ndugu yeyote mwenye taarifa zangu hata wazazi wangu hawajui chochote kuhusu kilichonipata na nilipo sasa, nikijua tu huko walipo lazima watakuwa wanahangaika kunitafuta

Usiku tukiwa tumelala, nikiwa na Anitha ambae hakukubali nilale hivihivi alining’ang’ania tukaanza kunyonyana mate tukiwa ndani ya blanketi huku nikimshika shika taratibu kukiwa giza kwenye chemba za selo tuliyopo, Queen alikuwa ametandika shuka amelala chini baada ya kutimuliwa kwenye kitanda na mpenziwe wa zamani mwanamke mbabe Censia

“Sherma!” nilisikia nikiitwa
“nani huyo?” Anitha aliniuliza
“atakuwa afande Jane!” nikamzuga na kushuka kitandani nikijiweka hijabu yangu vizuri kichwani, nikiwa na nguo zangu nikaenda mlangoni kwenye nondo na kumkuta afande Rukia

“nakuhitaji uje upande ule wa korido haraka!” aliniambia
“hakuna askari mwingine yeyote?”
“hakuna!” afande Rukia aliniambia kwa kunong’ona kisha akanifungulia mlango huo wa nondo mithili ya geti kwa funguo kisha akaondoka taratibu, wakati nikigeuka ili nikachukue ndala nivae

“Sherma!” nikasikia sauti ikiniita tena kwa kunong’ona nayo ni ya kiume, nilipogeuka nikamkuta afande mzee Songa akicheka cheka

“abee!???” nilimwitikia kwa kuigizia sauti ya kike wakati afande Rukia nilimwitikia tu kwa sauti yangu halisi ya kiume

“tukutane upande ule kule saa hizi nina hamu nawewe!” afande huyo aliniambia akiondoka taratibu

“mh kazi ipo leo!” nilijisemea kimoyomoyo huku nikijikuna kichwani…

Inaendelea…….

NILIPOFUNGWA KWENYE GEREZA LA WANAWAKE KIMAKOSA

SEHEMU YA 17

na @King Author
WhatsApp 0629980412
utapata story 3 kwa 2000 tu

Nilibaki nikijikuna kichwa baada ya kuitwa na afande Rukia ambae alitaka nikampe dudu na afande Songa mzee huyu nae akidhani mimi ni mwanamke akitaka apewe tunda’ nikaona hapahapa ndipo pa kuwachezea mchezo, kwa kuwa mlango wa selo niliyokuwamo ulishafunguliwa na afande Rukia nikatoka taratibu kuwafuata, wote wakiwa wamekaa upande mmoja hivi kwenye korido ya kuingilia chini kwenye mtaro wa chini kwa chini wa maji machafu, nikaamua kuwafata kimya kimya, nikamkuta afande Rukia amekaa upande mmoja akiwa ametulia ananisubiri na afande mzee Songa akiwa amekaa upande wa pili nae akiwa ananisubiri vile vile wakitengenishwa na ukuta, mimi nikiwa nimewaona lakini wao wakiwa hawajaniona bado na muda huohuo nikasikia kwa mbali miguu ya afande mwingine ikitembea tembea akiwa malindoni kwenye korido

Nilichokifanya ni kumchungulia kwanza afande Rukia

“afande Rukia nipo kwa hapa mpenzi wangu!” nilimwita kwa kunong’ona nikitumia sauti yangu halisi ya kiume,

“ooh nakuja!” nae alijibu akija akiwa hajaniona uso bado kutokana na giza, na kisha nikarudi kwa kunyata mpaka upande aliokuwepo afande mzee Songa nikamchungulia na yeye

“afande Songa baby wangu!” nikamwita kwa sauti ya kike nyororo ya kunong’ona, ya kumtoa nyoka pangoni

“naam?!” aliitika na kugeuka nae akiwa hajaniona kutokana na giza nene
“njoo kwa huku baby unipe raha haraka haraka tusije tukakutwa mimi naogopaaaa!” nilimwita nikimbania sauti mzee huyo nikizidi kumchanganya kweli kweli

“nakuja mama!” nae alijibu kwa kunong’ona akija haraka haraka

Afande Rukia akawa anakuja akitokea upande wa pili na afande Songa nae akija akiwa anatokea upande wa pili nami nikajibanza kwa mbele pembeni na kushuhudia kitakachotokea kwa maafande hao wawili, nikashuhudia wakikutana pamoja na kukumbatiana bila kujuana, gizani, nikiwaona kwa tabu

“nipe haraka nipe natamani penzi lako nipe” nilimsikia afande Rukia akiwa amemkumbatia mzee Songa huku akimbusu busu

“nakupa mama nakupa sasa hivi!” afande Songa alijibu nikisikia sauti ya zipu ya suruali ukifunguliwa

“kha hiki nini Paul una kipara siku hizi?” afande Rukia alimwuliza, nahisi alimshika kichwani mzee huyo akidhani ni mimi na hakukutana na nywele kutokana na baba huyo mtu mzima kuwa na upara wa asili katikati ujulikanao kama ‘uwaraza’

“Paul ndo nani?” mzee huyo aliuliza
“wewe ni nani mbona sauti siyo ya Paul na mbona ni mfupi?”
“nawewe ni nani mbona….” kabla mzee Songa hajamalizia sentensi yake afande Rukia akatoa simu yake na kuwasha tochi akimulika na kukutana na uso wa askari mwenzake yaani mzee Songa

“kha unafanya nini hapa?” alishtuka akiuliza
“na wewe unafanya nini hapa?” mzee Songa nae aliuliza

Wote wakabaki wakitazamana wanashangaa tu

“hebu kwenda huko zee zima ovyo usiku usiku tu kuwinda wadada wadogo sasa mimi kwa unavyoniona ni saizi yako Mmmmsyuuuuu!” afande Rukia alimsonya mzee huyo akijua alikuja kumuwinda yeye

“kwenda nawewe unatafuta wazee kama sisi vijana wenzako hujawaona tu au kwa sababu nataka kustaafu unajua utaweza nidanganya ule mafao yangu, mimi siyo mjinga kihivyo!” mzee Songa nae alijibu

“kwenda huko atake nani hizo hela zako msyuuuu yaani kukukatalia kote kule ulivyonitongozaga bado hujakoma tu wewe mzee wewe nakuheshimu tu nikiamua kukudhalilisha sishindwi mimi!” afande Rukia alimnyooshea mkono

“kuna nini kinachoendelea huku mbona marumbano, akina nani ninyi mpo gizani tulieni hapo hapo msitikisike!” afande Jane alisikika akija baada ya kusikia vita ya maneno ikiendelea upande wa pili huku, nami nikatumia upenyo huohuo kurejea kule kwenye chumba changu cha selo, nikaingia taratibu na kwa kunyata nikamkuta Anitha akiwa amekaa kitako ananisubiri kitandani

“ulienda wapi?”
“afande Rukia aliniita!”
“afande Rukia anataka nini kwako mpaka akakuita?”
“kuna mambo alitaka kuniuliza ila ni siri yangu tu!” nilimjibu wakati huohuo nikamwona Queen akihangaika hangaika kujigeuza pale chini alipolala akiwa ametandika shuka lake baada ya kufukuzwa kitandani na Censia

“mbona unamtazama sana vipi anakuhusu?” Anitha aliniuliza
“hanihusu lakini siyo vizuri alale chini!”
“utamweka wapi?”
“mimi nitalala chini na yeye atalala nawewe!”
“sitaki!”
“Anitha usiwe hivyo!”
“yaani wewe ulale chini kama unamwita mwite tubanane tu wote lakini kwa leo tu!”
“sawa asante Anitha!”
“mh!” aliguna akitazama pembeni nami nikaenda alipokuwa amelala Queen na kumwamsha, nikamwomba aje kulala na sisi, mwanzoni akakataa kataa kwa kumuhofia Anitha lakini mwishowe akakubali akainuka sakafuni na kuja kubanana na sisi kitandani mimi nikilala katikati tena upande upande kwenye kitanda hicho kidogo cha watu wawili

Anitha alinigeuzia nigeukie kwake nimtazame yeye kisha akaanza kunipa mate huku akimtazama Queen kama akimringishia sababu ni kwenye kitanda chake kwahiyo maamuzi anayo yeye, nami kimya kimya mkono wangu nikaupitisha kwa nyuma bila Anitha kugundua katikati ya matako ya Queen na kuanza kumshika shika matako yake taratibu asijihisi mnyonge

“Paul hivi nikuulize kitu?” Anitha aliniambia
“niulize tu!”
“imekuwaje kuwaje mpaka ukajifanya mwanamke na upo humu?”

“ni stori ndefu kidogo Anitha!”
“hata kama ni ndefu tusimulie kidogo” Queen nae aliniambia akigeuka kunitazama, nikawaangalia wote na kutabasamu

“ilikuwa hivi…… “

Inaendelea

NILIPOFUNGWA GEREZA LA WANAWAKE KIMAKOSA

SEHEMU YA 18

na @King Author
WhatsApp 0629980412
utapata story 3 kwa 2000 tu

Naitwa Paul,

Ni msomi wa chuo kikuu lakini nikiwa mtaani tu kutokana na kumaliza elimu yangu ya juu na kukosa ajira niliamua kujishughulisha na shughuli ndogo ndogo za kujipatia kipato nisije nikalala njaa, nikaamua kufungua duka dogo la kuuza vinywaji kutoka kwenye mtaji wangu wa shilingi laki moja nilioazimwa na dada yangu aitwae Selina, niliyemwomba kama mkopo, yeye akiwa ni mwalimu wa shule ya sekondari, lakini akanipa kama mtaji moja kwa moja bila kutaka kurudishiwa kwa namna yoyote ile,

Hakuwa dada yangu kabisa, alikuwa ni mtoto wa mjomba, yaani binamu, lakini alikuwa na moyo wa kipekee sana kuliko hata ndugu zangu wa tumbo moja tuliozaliwa wote

Nilianza biashara yangu hiyo ndogo maeneo fulani hivi ya stendi ya daladala kwenye muingiliano na pilikapilika nyingi za watu na wafanyabiashara na wafanya kazi ndogo ndogo na nzito nzito na penye wamama wengi wanaouza vyakula yaani mama lishe na abiria wanaoshuka na kupanda kwenye madala dala kila dakika na kila sekunde

Nilipata kijibanda kidogo cha uwongo na kweli na cha mbao na kufanikiwa kununua deli kubwa ambalo nililazimika kununua mabarafu kila siku asubuhi kwa ajili ya kuhifadhia vinywaji vyangu hivyo ambavyo huitaji ubaridi kila siku ili vinyweke vizuri hasa ukizingatia joto kali na jua kali ndani ya jiji la Dar es salaam ambapo hakuna mtu ambae angenunu soda au juisi iliyopoa ama vuguvugu, lazima zote ziwe na baridi la kutosha haswa

Biashara ilienda kwa kusua sua hivyohivyo, nikipata faida kidogo na nikipata hasara, na nikafanikiwa kupata friji lililotumika (used) kwa ajili ya kuhifadhia vinywaji vyangu, ambalo nililinunua kwa fundi mmoja wa mafriji kwa bei nafuu ya kifuta jasho ya shilingi laki moja tu

Angalau nilikuwa na uhakika sasa wa kutunza vinywaji vyangu vikawa na ubaridi wa kutosha, tofauti na mwanzo nilipokuwa nategemea kununua mabarafu tu

Biashara ilijongea hivyo hivyo ikipanda na kushuka, nikisimama na kuanguka, lakini walau nilikuwa napata hela ya kula na ya kulipa kodi, huku nikiendelea kuchungulia chungulia kwenye sehemu nilizopeleka barua zangu za maombi ya kazi serikalini na kwenye sekta binafsi kama siku moja nitaitwa

Ilikuwa siku moja jumamosi majira ya saa nane mchana jua likiwa kali sana nikiwa nipo ndani ya kibanda changu cha vinywaji kama kawaida alikuja dada mmoja ambae nilimuuzia soda kadhaa akiwa na soda hizo nilizomuuzia muda mfupi uliopita

“we kaka!” aliniita
“naam!” niliitika na kusimama kumtazama
“soda zako hizi hapa nimekurudishia nipe hela yangu soda gani hizi zina ladha mbaya chachu unatuuzia soda za kuchacha mpaka wateja wangu wamekasirika wakiumwa matumbo je unataka nisingiziwe mimi chakula changu kina sumu?” aliniambia dada huyo ambae ni muuza chakula ‘mama lishe’ akinipa chupa hizo tano za soda ambazo zilikwisha kufunguliwa tayari nikabaki namtazama tu

“sasa dada chupa tano hizi tayari zimeshafunguliwa mimi nazipeleka wapi na namuuzia nani na tayari zimeshaonjwa”

“utajua mwenyewe si ndo unayetuuzia vitu vya kueksipaya sasa unatakaje hebu nirudishie hela yangu mimi nina kazi nyingi nikatafute soda sehemu nyingine zisizochacha unanichelewesha tu hapa!” alininyooshea mkono,

“sawa” nilimjibu nikimpa hela yake elfu mbili mia tano ya soda zote tano, huku nikisikitika tu mwenyewe

“ngoja nitampa mimi!” mara akatokea mtu pembeni akiongea, mimi na dada huyo tukamgeukia kumtazama, alikuwa ni jamaa mmoja aliyevalia suti kali ya gharama mpaka kiatu kikiwa cha bei mbaya na miwani myeusi machoni na shingoni akiwa na mikufu ya dhahabu sambamba na saa kali ya bei mbaya, kiufupi alivaa mamilioni ya pesa mwilini, huku mkononi akiwa na funguo za gari anazichezesha mkononi, nikihisi ninamfahamu lakini miwani yake myeusi ikinifanya nisimtambue vizuri, na akaitoa taratibu

“Hans ni wewe?” nilimtambua kuwa ni rafiki yangu wa kufa kufaana, tuliyesoma wote elimu ya shule ya msingi darasa la kwanza mpaka la saba, mpaka sekondari kidato cha kwanza mpaka cha nne lakini yeye hakumaliza kidato cha nne aliishia njiani

“ndiye mimi!” alijibu akimpa yule dada noti ya shilingi elfu tano akimwambia chenji akae nayo tu, yule dada akaondoka mbiombio asije daiwa chenji tena bure

“umebadilika Hans rafiki yangu?”
“ndo maisha haya tunakula bata tu saa hizi, sasa mbona unafanya biashara kama hizi za ajabu ajabu kulikoni?”
“ni maisha tu kaka!”
“hamna hujaamua tu Paul, mimi si unaniona hapa nilipofika sikumaliza chuo kama wewe nikatafuta mishe nyingine zikanitoa kimaisha, saa hizi nina gari zangu tatu na mijengo miwili!”

“mishe gani hizo tushirikishane kaka?”
“jiandae kesho nikupeleke nikakuunganishe yaani utasahau maisha ya njaa njaa kama haya!”

“Nitashukuru sana kaka!!” nilimjibu, akaingiza mkono na kutoa noti noti nyekundu nyekundu tupu

“chukua nauli hii!” alinikabidhi pesa hizo takribani shilingi laki moja
“yote hii nauli?”
“ndio nina haraka tutachekiana kwenye simu nipe namba yako!” aliniambia nikamtajia namba kisha tukaagana yeye akaingia kwenye gari lake kali akiwa na mwanadada mrembo ndani ya gari kisha wakaondoka

“yeeeesssss nimeshawini maishaaa!” nilishangilia nikiruka ruka kabla hata sijajua dili lenyewe linahusu nini……..

Inaendelea!

NILIPOFUNGWA KWENYE GEREZA LA WANAWAKE KIMAKOSA

SEHEMU YA 19

na @King Author
WhatsApp 0629980412
utapata story 3 kwa 2000 tu

Nilirudi nyumbani mapema leo majira ya saa mbili usiku nikiwa nina furaha sana kwa sababu nina laki moja mfukoni na ni kama zari tu limenitokea, sikuzote huwa narudi saa nne usiku au saa tano na wakati mwingine biashara ikiwa mbaya nakomaa mpaka saa sita za usiku,

Njiani nilichukua viazi vyangu (chipsi) soda na maji na kwenda mpaka nyumbani nikiwa nimepanga chumba kimoja, nikaingia chumbani kwangu na kuviweka kwenye stuli nikiwa nina jasho sana nikaenda kuoga kwanza haraka haraka kisha nikarejea kitandani na kukaa nikiwa sina kochi wala sofa, kitanda tu na televisheni na deki yake bila hata king’amuzi, nilifungua karatasi ya viazi (chipsi) na kuanza kupeleka taratibu kipande cha kwanza cha chipsi hizo zilizokuwa na mayai lakini kabla kipande sijakishusha kinywani mlango wangu ukagongwa kwa fujo, na kwa ugongaji huo nikahisi moja kwa moja lazima atakuwa ni mama mwenye nyumba, mama mtata kweli kweli kwenye suala la hela ya kodi, nikainuka taratibu nikimbebea shilingi elfu hamsini yake kabisa ya kodi na kwenda kumfungulia mlango nikamkuta amesimama huku amejishika mikono kiunoni, akaninyooshea mkono kudai chake

“shikamoo!” nikamsalimia
“sihitaji shikamoo yako nipe changu!”
“lakini mama yangu si hatujaonana siku nzima jamani nakusalimia tu kwanza?”
“eh eh eh hiyo salamu kwani lazima nipe kodi maana zishapitiliza siku nne tangu tarehe ya mwisho ya kulipa wewe si jeuri utakula jeuri yako!”

“kwani nimefanyaje jeuri yangu ni ipi mama?”
“unajifanya hujui ndo nitakuonyesha kuwa hapa mjini usipojiongeza utapata shida sana, vijana wengine mnapata bahati lakini mnazichezea chezea wakati wenzenu wanazitafuta kila siku hawazipati, usingekuwa unasumbuka kulipa kodi saa hizi ungekuwa unakaa bure tu sasa angalia unahangaika hapo hela yenyewe huna sijui utanipa nini na mimi ndo sitoki mpaka hela yangu upo nyonyo?” aliniambia mama huyo akinishusha juu mpaka chini, na kunipandisha chini mpaka juu

“sawa mama yameisha ngoja nikupe pesa yako!” nilimjibu nikiingiza mkono mfukoni na kutoa noti zote kumi nyekundu nikiwa sijazigusa na kumuhesabia shilingi elfu hamsini yake huku akinitazama kisha nikamkabidhi kodi hiyo ya miezi miwili anayonidai nikiwa nimepanga chumba hicho cha Uswahilini kodi ikiwa ni shilingi za kitanzania elfu ishirini na tano kwa mwezi

“hapo sawa kumbe hela unazo, niongeze basi Paul hata shilingi elfu tano tu hela zote hizo!?”
“hiyo hapo!” nikamwongezea shilingi elfu kumi nyingine kama dharau kumwonyesha nimejaa hela asinione mjinga mjinga ingawa roho iliniuma nikipiga mahesabu ninabakiwa na shilingi elfu arobaini tu lakini nikitegemea kuzipata nyingi kutokana na dili nono analotaka kuniunganisha rafiki yangu wa siku nyingi, Hans

“asante jamani nilikuwa nakutania tu kumbe upo siriazi halafu vipi kuhusu lile ombi langu Paul nisamehe tu lakini ni hasira tu!” aliniambia mama huyo ambae alinitongoza lakini nikamkatalia siyo kwa sababu simtaki kimapenzi ila nilisikia kuwa ni ‘muathirika’ kwa taarifa za chinichini na hata marehemu mumewe alifariki kutokana na kuugua UKIMWI ndiyo akamwachia nyumba hiyo, hivyo sikuwa na haraka nae mpaka nijiridhishe kwanza

“tutaongea kesho nimechoka mama Samira!”
“haya sawa pumzika vyema!”
“nawe pia!” nilijibu akatoka nami nikarudi ndani na kujitupa kitandani nikiwasha feni kufukuza mbu…..

“grrrrrgrrrrrr!” mlio wa kutetemeka (vibration) wa simu yangu ulinikata usingizi nikaivuta kutazama saa ndo kwanza saa tano kasoro nikatazama namba ni ya Hans,

“Halow kaka!” niliongea kiuchovu
“vipi Paul umelala?”
“eeh nilipitiwa hapa na usingizi!”
“mbona mapema sana Paul!?”
“uchovu tu ndugu yangu!”
“ndokwanza saa tano hii njoo basi fasta kuna mkurugenzi anataka akuone usiku huu nimemwambia habari zako chukua pikipiki fasta!”

“poa bro nakuja ni wapi?”
“kwenye kasino hapa mjini inaitwa (….)” alinielekeza
“poa nakuja bro!”

Nilimjibu nikavaa haraka haraka na kutoka…..

…….

Majira ya saa sita nilikuwa kwenye mlango wa Casino hiyo maarufu mjini nikiwa sijawahi kuingia sehemu za starehe kama hizo za watu wenye pesa zao, mabaunsa wa mlangoni waligoma kuniruhusu kuingia na ndipo nilipomtumia Hans ujumbe mfupi kwenye simu akaja mlangoni kunichukua nikaingia nae mpaka ndani ya Casino hiyo ya usiku

Nilipoingia ndani ya Casino hiyo nilibaki nashangaa tu baada ya kuwaona wahudumu wanaowahudumia watu vinywaji na chakula wakiwa wamevaa vichupi tu na sidiria, huku kwenye jukwaa juu kukiwa na wadada wawili wakijizungusha zungusha na kucheza muziki kwa kujinyonga nyonga huku mmoja akibembea kwenye chuma wakiwa na chupi nyembamba sana zilizoonyesha mpaka sehemu zao za siri tena za wavu wavu, wakiwaburudisha wanaume ambao walikuwa chini ya jukwaa wakiwashikashika na kuwatupia noti noti nyekundu tu za elfu kumi kumi zilizotapakaa chini pale jukwaani, dudu langu likasimama ndani ya suruali ya jeans niliyoivaa nikajikuta nashikwa na hamu ‘nyege’ kabla hata sijakaa kwenye kiti

“usishangae sana utaanguka Paul hii ndiyo bongo siyo ulaya ni hapahapa bongo braza!”
“kweli kaka maana nikahisi labda sipo nchini kumbe mambo kama haya yapo?”
“tembea uone!” alinijibu tukakaa kwenye meza akiwa na chupa nyingi za pombe kali za kizungu

“unahitaji kinywaji gani?” muhudumu mmoja alininong’oneza sikioni nikashtuka na kumgeukia mwanadada huyo aliyenipa tabasamu huku macho yangu yakigonga kwenye kifua chake ambacho alivaa sidiria tu, nusu ya matiti yake yakiwa yanaonekana nje

“soda tu!” nilijibu nikidhani nipo hotelini au bar
“hatuna soda samahani tuna vinywaji vikali tu!”
“mletee John Walker huyu mdogo wangu hajazoea bado!” Hans alimjibu yule dada

“eeh hiyohiyo John Walker” nilijibu nikiwa hata siijui hiyo John Walker ladha yake inafananaje nikiwa nimewahi kuisikia sikia tu alinicheka na kuondoka na sinia lake la vinywaji huku nikimtazama namna matako yake yalivyokuwa yakitikisika na kugongana gongana yakiwa nje nje akiwa amevaa kijichupi cha kamba nyembamba tu, nikatikisa kichwa nikisikitika mwenyewe

“vipi kaka nikuletee kiburudisho nini ukashtue kidogo naona unapata tabu?”
“niletee tu nitakula!” nilimjibu nikijua ni chakula, na ndipo aliponyoosha mkono kwa ishara na nikashangaa wakija wadada wa tatu na vichupi vyao wakaja na kunishika wakininyanyua taratibu kwenye kiti nilichokaa

“wananipeleka wapi?” nilimwuliza Hans
“utajua huko huko!” Hans alinijibu akina dada hao wakaanza kunivuta……

Inaendelea

NILIPOFUNGWA KWENYE GEREZA LA WANAWAKE KIMAKOSA

SEHEMU YA 20
na @King Author
WhatsApp 0629980412
utapata story 3 kwa 2000 tu
Wale akina dada watatu walinichukua na kunipeleka mpaka ndani ya chumba kimoja kizuri wakanitupia kitandani mzima mzima nikaanguka kama mzigo, kisha wakanifunga kamba mikononi kwenye kitanda cha sita kwa sita kilichojaa maua ndani ya chumba hicho kikubwa cha ndani ya Casino hiyo, wakanivua nguo zote nikibaki uchi kama nilivyozaliwa huku nikiwatazama tu kuangalia wanachotaka kunifanyia, mmoja akasimama kwa mbele yangu na kuanza kunyonga kiuno chake akiishusha chupi yake nusu usawa wa mapaja, matako yake yakiwa wazi akainama na kunipanulia matako yake makubwa huku akiyarusha rusha na kuyanesesha nesesha, dudu langu likazidi kusimama kama msumari au nondo huku mapigo ya moyo yakinienda mbio sana kutokana na kimuhemuhe cha Mahaba nikiwa nimelala chali kitandani huku wameniwekea mto kichwani, mwingine alikuwa amesimama pembeni yangu akiishusha sidiria yake kifuani na kuitoa kabisa kisha akaanza kuyashika shika na kuyatomasa tomasa matiti yake kifuani huku akilalamika na kuguna guna mwenyewe kana kwamba kuna mwanaume anamsugua, akainama na kunisogezea matiti yake kinywani mwangu pale nilipokuwa nimelala akiwa na nia niyanyonye nami nikaanza kuyanyonya nikitamani kunyoosha mikono yangu niyashike shike na kuyatomasa tomasa matiti hayo ya duara

Nilibaki nikiyanyonya matiti hayo moja baada ya jingine, na muda huohuo nikashtukia dudu langu likinyonywa taratibu na yule mwanamke mwingine wa tatu ambaye alipitisha ulimi wake na kunipa mitekenyo ya kutosha

“nifungueni basi!” niliwaambia nikiwa sitaki mapenzi yao ya kizungu zungu ya kucheleweshana cheleweshana mpaka nijikute namwaga wazungu kabla hata sijaanza kumsugua mmojawapo

“una uhakika hata tukikufungulia utatuweza?” mmoja aliniuliza akininong’oneza sikioni, yule aliyekuwa amenipa matiti yake ninyonye

“nifungulie tu mrembo!” nilijibu nikishaijua janja yao kwamba wanataka wajizungushe wanitekenye tekenye tu mpaka nimalize shughuli bila kuwagusa na pesa wakiwa wameshalipwa na Hans kwa kazi ya kuniburudisha, nikawa mjanja, sikukubali waniache tu na kiwewe nijichafue tu hivihivi bila kuwashughulikia,

Yule niliyemwambia kwa kumnong’oneza sikioni ili anifungulie, aliwatazama wenzake ambao walienda mmoja upande wa kushoto wa kitanda na mwingine upande wa kulia wakaanza kunifungua kamba walizonifungia taratibu,

Waliponifungulia sikutaka kupoteza muda nikamkamata yule yule aliyekuwa karibu yangu niliyemwambia anifungulie nikambinulia kitandani akiwa na chupi tu juu akiwa wazi kifuani, akawa chini namimi juu nikamkamata miguu yake yote miwili na kuiinua juu dudu langu likiwa limesimama refu limenyooka na kupinda mbele kidogo likitazama juu kwenye kichwa kama ndizi, miguu yake nikaipinda na kumkunjia kifuani mwake nikimbananisha ipasavyo, nikaisogeza chupi aliyoivaa kwa pembeni bila kuivua kisha nikachomeka dudu langu na kulizamisha nusu, nikaanza kumsugua kwa mwendo wa kobe nikiongeza spidi taratibu mpaka lilipozama nikaanza kumshindilia sasa kwa kasi isiyo ya kawaida wenzake wakiwa wamepanda kitandani wakisubiri zamu zao

“aaaaiii uuwiiii ssssshhhh!” alilalamika na kuguna guna nikiwa ninamshindilia dudu kweli kweli bila huruma huku wenzake wawili wakinishika shika na kunipapasa papasa, mmoja akanisogezea matako yake, yule mwenye matako makubwa aliyekuwa akininengulia hapo awali, nikaanza kuyapapasa papasa kisha nikamwingiza kidole cha kati kwenye mkun… wake na kuanza kumchokonoa chokonoa akayabana matako yake na kuyapanua, bana panua, na yule mwingine aliyekuwa kushoto kwangu akanisogezea matiti yake nikaanza kuyanyonya huku nikiendelea kumshindilia dudu yule niliyeanza nae kwa takribani dakika kumi bila kulichomoa kisha nikalichomoa dudu langu na kumuacha akijishika shika kwenye uchi wake akipapoza kana kwamba kuna pilipili inamuwasha, nikamvuta yule mwingine aliyenitegeshea matako yake nikamchomeka dudu langu kwenye uchi wake na kuanza kumsugua nikiwa nimepiga magoti kwa nyuma yake huku nikimvuta nywele zake ndefu, kila nilipomshindilia dudu matako yake makubwa yaliruka ruka

Shughuli ilikuwa ni hiyo tu kati yangu na akina dada hao watatu makahaba, nikigaragazana nao kitandani kwa takribani lisaa limoja na nusu nikiwapandia kwa. zamu mmoja baada ya mwingine, mwanzo walikuwa wamenidharau kwa jinsi nilivyo mgeni kwenye sehemu hizo lakini sasa nadhani tukimaliza watanidharau kwa mengine na siyo tendo, masaa mawili yakigonga tangu tuanze mchezo huo mchafu’ uzuri ugali wangu ninaoula mara nyingi ni dona na chipsi ni mara moja moja sana na mazoezi ninayofanya kila asubuhi ya viungo na mawazo yangu ninavyoyaendesha wakati wa tendo husika vilinisaidia kuwastahimili hawa akina dada

Wengine wawili walikuwa chali wamelala wakijishika shika wakati nami nikimalizia kumsugua mmoja ambae alikuwa amenikalia dudu langu nami nimelala chali huku nimemshikilia kiuno akiruka ruka tu nami nikamwaga bao la nne ndani ya uchi wake tangu tuanze mchezo huo, lakini mapigo ya moyo yakinienda mbio kweli kweli, nikihisi hewa ya moto ikinitoka kwenye tundu za pua, uzuri hata huyo mwanamke mwenyewe alikuwa hoi juu ya kiuno changu lakini akijitutumua asionekane ameshindwa, masaa mawili yakiwa yamekatika sasa ikimalizika robo saa nyingine, yeye mwenyewe akashuka juu ya kiuno changu, na kulala chali kama wenzake

“ooooppppsss!” nilishusha pumzi ndefu huku nikihema pamoja na pangaboi (feni) iliyokuwa iiliyokuwa ikizunguka kwa kasi juu kwenye dari lakini sikuiona faida yake maana jasho lilinijaa mwilini siyo la kawaida

“we kaka mh!?” mmoja aliguna huku akihema hema nikanyoosha mkono na kuanza kumshika shika matiti yake kifuani

“paaaah paaaah!” mara wakati huohuo tukasikia sauti ya risasi zikipigwa upande wa kule kwenye Casino

“kila mtu chiniiii!” tulisikia watu wakiamrishwa, tukaamka haraka haraka kitandani kila mtu akitafuta nguo zake…….

Inaendelea,,,,,,,,,,,

Said Abdullah

^ SENIOR C E O & PUBLISHER ^ Software engineering ^ Fan of programming ^ Technology Enthusiast.. ^ System developed|C,C++&java 👇Get more news and updates

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button