Simulizi

SIMULIZI|JIRANI SEHEMU YA – 14

Nami bila kusita niliendelea kumchezea, nilimshika nyoka wake na kumbinya binya kwa madaha, lakini kati kati, gafla, nyoka wake alivimba.

“ Oooo…ooooo…” Aligumia yule kijana. Nikiwa nimeduwaa nyoka wake alijivurugua na kunyoka kisha akatoa maji meupe.

“ Eeeeeh!’ Niliduwaaa. Wote wawili tulitoa macho ya mshangao, mwenzangu alitoa macho yaliyoambatana na utamu. Alikuwa amefika mshindo kwa mara ya kwanza.

“ Eeeeh! Kumbe inakuwaga hivi? Nikichezewa kumbe uwa ananyooka na mshindo nafika.” Aliniambia. Sura yake ilijaa furaha.

“ Nafurahi kuona kupitia mimi umeweza kugundua jambo Fulani kuhusu mwili wako. Nenda kajichunguze vizuri utakuja kugundua makubwa zaidi.” Nilimwambia. Akiwa anafuraha sana, yule kijana aliondoka na kuniacha peke yangu, wakati yeye anatoka tu, aliingia jenifer.

“ Afadhali umefika, hapa nilikuwa na mpango wa kukutafuta.” Nilimwambia.

“Najua kuna mengi unataka kujua.” Aliniambia. Alipitiliza mpaka ndani na kwenda kukaa kwenye sofa.

“ Naomba tusipoteze muda, naomba niambie kitu gani kilichokufanya useme Michael uwa anawaingiza wanawake kipande cha mti? Kwa muonekano Michael hawezi kufanya ukatili wa aina hiyo. Naomba niambie sababu ya wewe kusema hivyo ni nini?” Nilimuuliza.

“ Uuuuuuh” Alihema juu juu. Alinishika paja kisha akanitazma machoni.

“ Mimi na Michael mapenzi hatujaanza leo, tumeanza kitambo sana, na mara zote nilizokuwa nakutana na Michael, hakuna hata siku moja ambayo nilisikia maumvi makali au maungo yangu yalichanika. Tulikuwa tunafanya kistaarabu tu bila madhara, lakini mwaka juzi kuna jambo la ajabu sana lilitokea, tukiwa tunafanya mapenzi Michael alinichana vibaya sana, maungo yangu yote yaliharibika, yaani hata hayatamaniki. Na toka siku hiyo hadi leo, siwezi kutembea vizuri”

“ Eeeeh! Yaani huko nyuma mfanye safi halafu gafla tu hiyo siku moja akuchane?”

“ Ndio, na sio mimi tu, wanawake wengi aliokuwa anakutana nao Michael, mara za kwanza wote alikuwa anafanya nao safi tu, lakini huko mbele ndio uwa anawachana vibaya sana. Hii ni kwasababu anatumia kiungo bandia. Hatumii naniliu yake ya kawaida.”

“ Maneno yako yananifikirisha sana, yananipa maswali yasiyokuwa na majibu, ukute hata mimi kwakuwa ilikuwa siku ya kwanza ndio mana hakukuwa na madhara. Ukute huko mbele atakuja kunifanyia ubaya.”

“ Ndio, ipo hivyo. Kuwa naye makini.” Aliniambia. Nilitikisa kichwa kumkubalia. Tuliongea megi kuhusu Michael kisha akaniaga na kuondoka.

……………………………………

Nikiwa nimelala, majira ya saa tatu usiku, simu yangu iliita. Niliipokea. Aikuwa ni Michael.

“ Unasemaje usiku huu?” Nilimuuliza.

“ Nimekupigia kukupa taarifa mbili, moja ni kuhusu Maua, anaendelea vizuri sana. Daktari kanipigia simu na kuniambia kesho MUNGU akipenda wanaweza kumruhusu arudi nyumbani.” Aliniambia.

“ Na taarifa ya pili , ni kuhusu mimi na wewe. Naomba tukutane tuongeee. Nataka tuyaweke wazi yote yaliyotokea. Najua Jenifer kakuambia meneno mengi ya uongo.” Aliniambia.

“ Ameniambia ukweli, hakuna uwongo alioniambia.”

“ Naomba tuongee, kama hautajali naomba nije nikuambie swala ambalo jenifer na wanwake wote nililala nao hawalijui, nitakueleza kila kitu bila kificho kwakuwa nataka uwe mke wangu.” Aliniambia.

Bila ya kumjibu, nilikata simu yake na kujifunika shuka gubi gubi.

……………………………….

Saa moja mbele, niliamka, akili yangu yote ilikuwa kwa Michael, nilipata shauku kubwa ya kujua ukweli wa yale mambo. Nilikuwa nimeshampenda Michael, hivyo kuachana naye bila ya kujua ukweli lilikuwa ni swala ngumu. Nilichukua simu yangu na kumpigia.

“ Moyo wangu…..moyo wangu..moyo mama…” Iliimba nyimbo kwenye simu yake. Simu iliita hadi ikakatika bila ya kupokelewa.

“ Huyu nae kwanini hapokei simu?” Nilijiuliza. Nilimpigia tena. Simu iliita tena kama mwanzo hadi ikakatika bila ya kupokelewa. Nilikata tamaaa. Nilipanda kitandani , kabla sijajifunika shuka, simu yangu iliita. Alikuwa Michael. Alinieleza alikuwa bafuni akioga ndio mana hakupokea simu yangu.

“ Sawa haina shida, naomba uje tuongeee.” Nilimwambia na kukata simu.

Hazikupita dakika mbili, Michael alikuja.

“ Nitakueleza ukweli wote, kwanza kuhusu Mti, hakuna mwanamke niliyewahi kumuingiza mti.” Aliniambia.

“ Sasa kwanini inakuwa vile? Mfano jenifer, kwanini kipindi cha kwanza mlikuwa mnakutana bila ya mtatizo halafu kipndi kingine ukamchana vile?” Nilimuuliza.

“ Ok kuhusu hilo jibu lake ni hili.” Aliongea Michael na kuingiza mkono mfukoni, alitoa kitu kilichoniacha mdomo wazi.

“ Aaaaaah! Sasa hiko kinawezaje kuwa jibu?” Nilimuuliza

Said Abdullah

^ SENIOR C E O & PUBLISHER ^ Software engineering ^ Fan of programming ^ Technology Enthusiast.. ^ System developed|C,C++&java 👇Get more news and updates

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button