Simulizi

SIMULIZI|PENZI LA MTOTO WA BOSS SEHEMU YA – 03

Sehemu ya Tatu (3)

“Jamani mpenzi wangu ooohh! Ooohh nyny kma ni yako hiyo mpenzi oohh shiii ra,,ra,,,rahaa”

(Ilisikika miguno tu ya hatari kwenye chumba hicho na mara hii Chris alizidisha Utundu kuliko kwa dada Ake Dora)

“Hakutaka mambo yawe mengi akachukua mpira na kuanza kuweka uwanjani hapo sasa yakaaza magoli tu na cheka kumi wavu hali ilizidi kuwa mbaya kwa Vailet maana alipata raha ambayo hata mpenzi wake John hakumpa raha hiyo”

“Ujue bana kuna watu wamebarikiwa sana kwenyechezo wa soko hiii kama mimi huwa siachi kabisa nizidiwe kuraulika mwenyewe akitoka lazima aombe yeye mechi nyingine, ndivyo Chris alichokifanya sasa hapo ilibaki kilio si kilio raha sio raha imradi tu utamu kulea”

“Yaani Chris umenifurahishaa kumbe inakuwa raha zaidi ya hivi yaani asante”

(Vailet alikuwa hoi kweli kweli baada ya magoli kadhaa)

“Usijali mbona kawaida tu, ila kalale kesho bana”

(Chris aliamua kuepusha nusu shari)

“Ndipo Vailet alipoenda chumbani kwake huku akigeuka nyuma kumwangalia Chriss na kutabasamu, ile anatoka tu baada ya dakika moja mama ake Vailet akawa anakuja uelekeo wa mlango wa Chris na kugonga hodi”

“Oohh! Karibu mama”

(Chris alifungua mlango na kumuona Mke wa boss wake ana kanga moja tu tena nyepesi)

“Ilikuwa hivi siku ili wakati mama Dora anarudi hyper marker alihisi jambo limetendeka baina ya Dora na Chris baada ya kuona manii kwenye sofa ndo alizibitisha zaidi alikaa kimya haikujulikana lengo nini”

“Mama Dora baada ya kuona Chris akamueleza”

“Wewe si bingwa wa kutoa ny*ge za mtoto wangu sasa nataka unitoe na mimi sasaivi”

(Mama Vailet aliongea bila uoga wowote tena kwa sauti ya kumaanisha analolizungumza)

“Tobaaa mama tena mbona ulimwengu unanielemea mimi”

(Chris alijisemea moyoni mwake)

“Sijui umenielewa”

(Mama huyo alizidi kuongea huku akitaka kumshika Chris)

“Kabla hajamshika Ilisikika sauti Mama kuna shida gani tena”

(Ilikuwa sauti ya Dora ambae alitokea nyuma ya mama huyo)

“Mama Dora baada ya kuona hivyo alisita na kumunea aibu mwanae na kuondoka kwa hasira”

“Shida nini Chris”

(Dora aliuliza)

“Kamuulize Mama ako sawa”

(Chris aliongea kwa hasira na kuingia ndani, na kuukomea mlango)

Je,nini kitaendelea, je Chiza Kurwa Zigamba ataieleza nini familia yake ni kesho tu ndo safari ya kurudi na amepewa wiki awe amehama nyumba yake na kwanini akumbuke kitu na je vipi kuhusu Mama Dora Chris atakubali kumkula….

“Chris alifikiria sana kwa yale yanaomtokea akakaa na kuwaza na kuona si vyema kuendelea kufanya yale anayofanya maana yeye ni kijana na ana maisha mengine mbeleni atahitaji familia kwanini afanye yale”

“Aliwaza na maamuzi yake akaamua aondoke bila kuaga nyumbani ila akaacha barua ya kwamba wasijaribu kumtafuta”

“Asubuhi kulipokucha mazingira yalikuwa hajasafishwa ilikuwa ni siku ya tatu ambayo Mzee Chiza ailihahid atarudi, Dora alipoamka asubuhi alienda kwenye chumba cha Chris alikutana na ujumbe kiukweli kwa jinsi alivyopewa mambo na Chris alianza kumpenda hivi leo kaondoka tu”

“Upande wa Mzee Chiza alikumbuka miaka kadhaa kabla hajawa na hela kiasi kile katika mji wa geita huko katika machimbo”

RUDI NYUMA

“Daahh! Baada ya miaka kadhaa nimefanikiwa sasa sasa kupata zahabu”

(Chiza Kurwa alikuwa mchimbaji wa migodi kama unavyofahamu mgodini kuna watu wale wenye uchu na mali za wenzao siku hiyo Mzee Chiza alifanikiwa kuopoa donge nono la zahabu samani za zile zahabu ilikadirika kama millions 200 Chiza kwa furaha alijikuta anaropokwa kwa nguvu)

“Watu walijaa pale alipokuwa na marafiki zake kadhaa wakamjia sehemu, bahati nzuri wale wababe wa migondi hawakuwepo wakati maana destuli yao ukipata zahabu unagawana nao hiyo ndo ilikuwa zama hizo kabla awamu hii ya 5”

“Mara Wale marafiki zake wakamziba mdomo na kutoka nae chemba na zahabu zile”

“Sasa Chiza unapiga kelele hizo mali utazikosa fanya tuondoka hapa”

(Aliongea mmoja ambae alikuwa anajulikana kwa jina la denis)

“Kama unavyojua ukiwa na kitu hataka kama adui yako atajifanya rafiki kosa uone ndipo utakapojua kuwa adui yako ni bora kuliko rafiki mnafiki”

“Denis na mwenzake Dully walimchukua mpaka sehemu kunapouza madini kwa njia ya siri maana waliongopa kodi serikali ingawa Chiza alitaka sana waende na njia halali ila wenzake walimshawishi sana”

“Baada ya kuunza walikabidhiwa kiasi kikubwa tu cha pesa na Chiza nae hakuwa mzembe alijua akileta masiara anakosa pesa zote au anagawanao nusu kwa nusu wale wenzake, machale yakamcheza”

“Marafiki asanteni sana chukueni kiasi hichi kama fadhila zenu”

(Chiza aliwapa kiasi cha million 50 hakutk kuwa mbinafs sana)

“Mmhh! Sawa”

(Walipokea ila hawakuonesha hali ya kuridhika kabisa)

“Ok mimi naenda zangu kwahiyo kesho tuonane machimboni”

(Chiza alielewa hilo maana hata asante hawakutoa wale marafiki zake hakutaka kucherewesha mda asije akakabwa akaamua kuondoka na kwenda kwa familia yake kieleza, kipindi hizo Mzee Huyo alikuwa na mtoto mmoja ambae ni Dora)

“Chiza alimuelezea mkewe yote yaliyojiri ndipo mkewe akamshauri waondoke waende mbali ikiwezekana mda ule ule maana wakicherewa usiku kuna kuuliwa mtu”

“Chiza alipokea ushauri wa mkewe na siku zote ukiwa na mke mwenye busara na kujua wajibu wake kwa mumewe basi inakuwa rahisi kusikiliza na kushauriana”

“Masaa machache badae waliamua kuondoka na kuelekea morogoro mjini huku walikodisha vyumba mpaka na kuanza biashara ya duka kubwa”

“Upande wa kina Denis wao baadae usiku ule walivamia kwenye nyumba ya Chiza lakini waliambulia patupu”


TUENDELEEE

“Daahh! Yaani miaka yote walikuwa wanitafuta mimi, na leo hii ndo wamefika kijiji ama kweli rafiki sio mtu kabisa ila naamini mungu atanionesha njia”

(Mzee Chiza ambae mda mchache tu anaanza kuwa masikini tena kuliko mwanzo ukizingatia ana familia alichoka akili na mwili hakuwa na budi alibidi arudi kwake na kueleza familia yake)

“Mama kwanini ulikuwa unamtaka kimapenzi Chris kwanini mama”

(Dora alizungumza huku akilia baada ya kuona kilichoandikwa katika barua)

“Mama Dora alibakiwa na aibu huku akiwa makosa aliyoyafanya, hakuwa na budi kwa wawili wale vailet alilia na Dora ndo usiseme na kumshambulia mama yao”

“Mara walisikia honi ya gari, kila mmoja alifuta machozi na nakwenda kufungua geti”

“Ooh! My daughter miss you”

(Mzee Chiza alimkumbatia Dora huku akianza kulia, akitafakari wanawe ambao washazoea maisha ya kutokuwa na shida leo hii itakuwaje kiukweli alikosa majibu kabisa)

“Baba kwanini unalia”

(Vailet nae alitokea na kumuona Mzee huyo anatoa machozi)

“Ndipo alipoingia ndani kuuliza yupo wapi Chris”

“Mume wangu Chris amedai anaenda kwa wazazi wake wanaumwa sana kuna mtu kamwijia kwahiyo atarudi”

(Mama Vailet alimua kudanganya kabla hajafikiria)

“Masaa machache kabla Mzee Chiza hajafika kwake iliingia SMS kwenye simu yake, BABA USIJALI NIMEICHA FAMILIA YAKO VYEMA LEO ASUBUHI NA ASANTE KWA WEMA WAKO MUNGU ATAKUONGEZEA ULICHOPUNGUZA MAISHA MEMA IPO SIKU TUTAONANA NAAMINI HILO WAKO PEKEE CHIS /TOPHER, USITUME SMS MENGI WAKUELEZA NYUMBANI”

“Alipojaribu kupigwa aliambiwa kijana yule Chris alianzima simu kwa konda nae kapanda gari kaelekea dar es salam”

“Nyinyi mnasema kaelekea kwao mbona SMS kanitumia hii hapa, ndipo Dora alipochukua simu na kusoma ujumbe ule kwa sauti wote walishangaa maana kama dar yule hawahi fika anaenda kwanani”


SONGA NAYO……

“Upande wa Chris yeye aliamua kwenda kutafuta maisha sehemu nyingine aliamua kuekekea dar es salam na akiba yake ya mshara aliofanya mienzi kadhaa alijipa moyo kwa kuwa pesa alikuwa nazo hivyo basi hatopata tabu”

“Upande wa mzee Chiza aliomba msamaha kwa watoto zake na jambo la Chris likasauliwa na kuzua simazi baada ya mzee Chiza kueleza yote yaliyojiri”

“Wanangu siku zote maisha ndo yalivyo kuna kupata na kukosa, na kuna kupanda na kushuka”

“Chiza Kurwa alivyoongea maneno hayo mke wake alikumbuka miaka kadhaa jinsi maisha yao yaliyokuwa ya dhiki na tabu nyingi leo hii wanarudi katika maisha yale kweli”

“Familia nzima ilijawa na majonzi haswa Watoto ambao wao wamekulia kwenye raha tu ilikuja kuwa mtihani sasa kwao”

“Baba ndo unasema tutakuwa masikini”

(Vailet aliuliza)

“Mzee Chiza hakujibu zaidi ya kulia tu, siku ilipita kwa familia ile kupata usingizi kwa tabu sana”

“Upande wa Chris yeye aliwasili dar es salam ilikuwa ni mapema kiasi cha saa 8 mchana maana kutoka mororgoro mjini mpaka dar ni mwendo wa masaa 4 mpaka 5 alifika katika jiji hilo na kama kawaida pirika za hapa na pale kujitafutia risiki zikiendelea”

“Wawoohh! Hii ndo Dar ya raisi wetu hakika ni jiji nzuri”

(Chris alijisemea huku akiangalia mazingira ya huku na kule)

“Daahh! Maisha naanzaje hapa kupata makazi ya kulala na kuanza maisha yangu”

(Chris aliwaza huku akiangalia akiba yake ilikuwa ni kiasi cha laki mbili tu)

“Safari yake ikaanza kutoka ubungo na kutembea tembea jiji hapo mara aliona bango limeandikwa”


ASANTE..


“Chris hakutaka kucherewa alichukua kibegi cha mgongoni chenye nguo chache na kwenda kutafuta usafiri, kwa kuwa ilikuwa si tabu sana ya usafiri alipata kwa haraka sehemu husika”

“Karibu ndugu yangu kama Ulivyosoma bango ulikuwa unaitaji vyumba vingapi”

(Yule dalali alizungumza)

“Mzee me kwa majina naitwa Christopher Denis nimetokea kijiji cha mororgoro baada ya matatizo hapa na pale nikaamua maisha yangu nijaribu dar maana nilifunzwa kutokata tamaa”

(Chris alijieleza kwa urefu na kumfanya mzee ambae alikuwa katii ya umri 50 amuonee huruma kwa kujieleza kwake)

“pole sana kijana kwahiyo unataka kuniambia unataka chumba cha peke ako huna mke”

(Yule mzee aliuliza)

“Baba yangu Mimi niwe na mke maisha Haya nitampa nini sina Mimi ilikuwa nahitaji hata sasaivi chumba maana dar ni mgeni”

(Chris aliongea kwa unyonge)

“Sawa ila kwasababu upo singo kuna vyumba vipi viwili si vizuri sana ila vina umeme chumba kimoja yupo kijana mwenzio na kingine utaishi wewe”

“Daahh! Asante kwa msaada wako ila ni bei gani”

“Hivyo ni elfu 25 kwa mwenzi”

“Kutokana na fedha aliyokuwa nayo Chris alimuomba mzee huyo ampe kodi ya mienzi miwili akifanikiwa kupata biashara atamlipa,bila hiyana mzee huyo alikubali na kupeleka sokoni kwa ajili ya kula na kununua busati kwa ajili ya maradhi ya kijana Chris, hakuona shida Chris maana maisha hayo alipitia tena magumu kuliko hayo”

“Safari ikaenda kwenye nyumba na aliangalia akiba yake ilibaki kama kiasi cha laki moja”

“Upande wa pili Mzee Chiza yeye aliamua kukusanya familia yake na bahati nzuri aliweka akiba nyumbani kwake kiasi cha million mbili alichukua na kuamua kuondoka mbali na familia yake”

“Upande wa Chris asubuhi mapema alionekana akiamka kwenda kuoga bafuni”

“Vipi kijana mwenzangu”

(Chris alisikia sauti nyuma yake na kumfanya ageuke na kuweka ndoo chini)

“Chris aligeuka na kumuona mpangaji mwezake”

“Niaje bro”

(Chris alisalimia)

“Safi naon hatuonani”

(Yule mpangaji alimjbu na maongezi ya hapa na pale yakaendelea)

“Story ya maisha yako Chris inataka kufanana na yangu, ujue katika maisha yote yanatokezea hayo haswa sisi wanaume tunapitia mengi sana maana wanawake kama watu ambao sisi tunatakiwa tuwaongoze tukiruhusu tuongozwa basi ndo kama hivyo tunayumba au kupoteza dira ya maisha, wewe ulichofanya kuacha kufanya vitendo hivyo kwa mabinti wale ni vyema maana saivi unaweza kupangilia maisha yako ndoa ipo na wanawake wapo shida jinsi ya kuilisha familia’

(Denis ambae alikuwa kijana wa makamo hawaupichana sana na umri wa Chris aliongea maneno hayo baada ya wawili hao kuamua kujenga urafiki na kuelezana mambo yaliyowakumba)

“Ni kweli Denis hilo ndo nilihofia na kuamua kuchagua njia ngumu”

(Chris alizungumza)

“Sawa usijali sema mimi huwa nafanya ishu ya kuuza maji, madafu kiufupi biasha ndogo ndogo hapo sokoni”

“Sawa Denis nina kama elfu 50,sijui itatosheleza kuanza biashara hiyo”

“Ndio mbona inatosha kesho tutaenda wote kulangua madafu ili uanze nawe c unajua tupo kwenye nyumba za watu Chris na mienzi inakata Kama umeme”

(Denis alizungumza na kumfanya Chris awaze mbali)

“Daahh! Asante sana sema ngoja nikaoge si unajua asubuhi leo jumapili kanisani”

(Chris aliongea)

ITAENDELEA

Said Abdullah

^ SENIOR C E O & PUBLISHER ^ Software engineering ^ Fan of programming ^ Technology Enthusiast.. ^ System developed|C,C++&java 👇Get more news and updates

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button