Teknolojia
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
-
Nape mgeni rasmi Lugalo Openi 2023
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nauye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa shindano la “Lugalo Open 2023” litakalo fanyika Machi 25 na 26 Lugalo Gofu jijini Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Brigedia Jenerali Michael Luwongo, amesema muitikio wa wachezaji ni mkubwa…
Read More » -
Kampuni ya TECNO Yazindua Rasmi Spark 10 PRO
Kampuni ya simu za mkononi TECNO Tanzania imetambulisha rasmi toleo jipya la muendelezo wa Series ya SPARK ambayo ni TECNO SPARK 10 PRO. TECNO SPARK 10 PRO ni simu ya kisasa na yenye gharama nafuu na sifa yake kubwa zikielekezwa kwenye uhodari wa MP32 za selfie kamera na MP 50 za kamera ya nyuma, zinang’arisha picha na kuzifanya kuwa na…
Read More » -
‘Kuna mabadiliko wanafunzi wa sayansi’
Waziri wa nchi ofisi ya Raisi TAMISEMI, Angellah Kairuki amesema kuwa serikali imeanza kutekeleza mpango wa kuongeza idadi ya wanafunzi wanaosoma masomo ya sayansi kuanzia shule za sekondari hadi vyuo vikuu. Waziri Kairuki alisema hayo mjini Kigoma, wakati akifunga kongamano la wanafunzi wa kike wanaosoma shule za sekondari katika Mikoa ya Kigoma,Tabora na Songwe kujadili changamoto zinazowakabili na kushindwa kufikia…
Read More » -
Simu Yako Ina GB 64.? Ongeza Storage Kwa Kutumia Njia Hii
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanamiliki simu yeye nafasi au Storage zaidi ya GB 64 basi makala hii haikuhusu sana kwani ni wazi kuwa mpaka sasa bado simu yako inayo nafasi au ROM ya kutosha. Lakini kama unayo simu ya Android yenye nafasi au storage chini ya GB 32 basi makala hii inakuhusu kwani najua utakuwa umewahi kukutana…
Read More » -
Kampuni ya Airtel ya Kwanza Kuja na eSIM Tanzania
Airtel Tanzania imekuwa kampuni ya kwanza nchini kuzindua huduma ya eSIM kwa wateja wake. Huduma hii inaruhusu wateja kusajili simu zao za mkononi kwa njia ya mtandao badala ya kutumia kadi za SIM. Kupitia huduma hii, wateja wa Airtel wanaweza kusajili zaidi ya simu moja kwenye akaunti moja. Hii inamaanisha kwamba wateja wanaweza kuwa na simu mbili kwenye akaunti moja…
Read More » -
Ongeza Ukubwa wa Maandishi Kwenye Apps Zote (Android)
Ni wazi kuwa kuna wakati unataka kuongeza ukubwa wa maandishi kwenye simu yako ya Android, hii ni muhimu zaidi kwa watu wazima ambao pengine kwa namna moja ama nyingine wamepoteza uwezo wa kuona vizuri. Kupitia njia hii nitakuonyesha njia rahisi ya kuongeza ukubwa wa maandishi kwenye simu yako nzima ya Android. Hii itafanya maandishi kwenye simu yako yote ya Android…
Read More » -
Jinsi ya Kudivert SMS Kwenda Simu Nyingine (Updated)
Kama wewe ni msomaji wa sw.muharishaji basi lazima unajua kuwa tulishawahi kuzungumzia njia ya kuforward SMS kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Kama bado hufahamu kuhusu njia hiyo unaweza kusoma hapa kujua hatua kwa hatua. Lakini baada ya kuonyesha njia hiyo watu wengi walisema kuwa njia hiyo inakuja na mambo mengi na pengine inaweza kumshinda mtu asiye na ujuzi…
Read More » -
Usinunue Simu ya Android au iPhone ya Zamani
Kwa sasa ni wazi kuwa kila kampuni ya simu inajitahidi kwenda na wakati kwa kuzindua simu mpya zenye sifa mbalimbali na zinazo endana na wakati. Lakini kama wewe ni kama mimi ni wazi kuwa kuna wakati unataka kununua simu ya bei rahisi na hivyo unajikuta unataka kununua simu ya miaka ya nyuma kwa sababu mara nyingi simu hizi huwa zinapatikana…
Read More » -
Jinsi ya Kuchukua Screenshot Kwenye Kompyuta
Ni wazi kuwa hapa Tanzania tech tumekuwa tukijifunza kwa pamoja mambo mbalimbali ambayo mengi inawezekana ulikuwa ufahamu kabla, lakini ni wazi kuwa kuna wakati tumekuwa tukisahau mambo madogo ambayo ni muhimu kwa watumiaji wote. Kama wewe sio mtumiaji wa kompyuta wa leo huwenda unaona makala hii haina maana kwako, lakini ni wazi kuwa kila mtumiaji wa kompyuta wa leo lazima…
Read More » -
Jinsi ya Kuwezesha Dira ya Kisasa (Compass) Kwenye Simu
Ni wazi kuwa simu za smartphone zimefanya mabadiliko makubwa sana, mabadiliko haya yamechangia sana kwenye maendeleo ya duniani kwa kuwa teknolojia imerahisha sana mambo. Pamoja na mambo mengi ambayo yamewezeshwa na teknolojia ya smartphone, pia kupitia smartphone yako unaweza kutumia dira au compass ya kisasa yenye uwezo mkubwa sana. Kama wewe ni mtumiaji wa dira ni wazi kuwa ulishawahi kujaribu…
Read More »