Habari

Uapisho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha George Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora), leo Aprili 2, 2023, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)

 

The post Uapisho first appeared on HabariLeo.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button