Habari

Wageni Simba, Yanga hatihati kukosa Ngao ya Jamii

KWA mujibu wa Shirikisho la Soka (TFF) Azam FC pekee ndio iliyopeleka wachezaji majina ya wachezaji wa kigeni watakaocheza mechi ya Ngao ya Jamii.

Taarifa iliyotolewa leo Agosti 9, 2023 TFF imesema Simba SC, Yanga SC na Singida FG hazijapeleka wachezaji wa kigeni hivyo hawataruhusiwa kucheza kwa mujibu wa sheria.

“Hakuna mchezaji atakayeruhusiwa kucheza mashindano ya Ngao ya Jamii kama hatakuwa amekamilisha taaratibu za kisheria”. Imeeleza taarifa hiyo.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button